KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 6 October 2013

BY:FLORA LYIMO ~ DINNER TIME AT MR WU!! & ALI KIBA USINISEME KAMA NAPENDA KULAAA''UKIJA LONDON MAKE SURE YOU GO HERE FOR BUFFET''


 NAVYOSIKIA NJAA HAPA ''YANI HATA VILE NAPENDA PICHA NATAMANIJE KUJIKUTA MEZANI '''ILA HUMO NDANI LEO NI NOMAA''FOLENI HADI MLANGONI''
 MWAONA FOLENI EEE''CHEZEA MR WU''
 HAPA KUNA VITI UNAWEZA KUKAA UKISUBIRIA MEZA IPATIKANE''
 I'INNNNNNN''YESSSSSS''NOW MSOSI TIME HAKUNA CHA SIM WALA NINI''
 MSINISEME KAMA NAPENDA KULA JAMANI ''SAHANI YA KWANZA HII'''

UNAKUJA UNASHIBA KABLA HATA HUJALA''MBUTA NANGA!!SAHANI YA PILI ''NA SIKUWEZA KUMALIZA ''UWIII NILIJISIKIA VIBAYA NILITAMANI NIMALIZE LAKINI NIKASHINDWA JAMANI NA WENGINE WALILALA NJAA''RUWA MANGI''BUT NOTHING NINGEWEZA KUFANYA''
HASARAAAAAA'HICHI NILIKIACHA KWENYE SAHANI NA KIKAISHIA PIPANI LA TAKATAKA'' KWELI MUNGU ATUSAMEHE BUREEEEEEE''' AND ALSO NIMEKILIPIA'BUT KULA MNO NI HASARA PIA''' KUDADAMBIVUU'''
 HAHAHHAAA'HABARI NDIYO HIYOOO'''JAMANI MY ALI KIBA ''MISS YOU SANA' HOPE YOU COME BACK TO LONDON AGAIN SOON ''' ANYWAY 'ENJOY HUU WIMBO WAKE KAMA NAVYO ENJOY MIE''NA PANAPONIHUSU PATAMUJE'' MBUTA NANGA!!
MAMA YANGU FLORA LYIMO MIE MTOTO WA KICHAGGA LONDON ''NIMESHIBA VIBAYA MNO ''SASA SIDHANI KAMA NITAENDA KURUKA RUKA CLUB '' I JUST WANT MY BAJAJI TO TAKE ME HOME''BUT HAWAWEZI 'HAWARUHUSIWI KWENDA MBALI 'SO JUST TAKE IT FOR A RIDE ''FRESH AIR AND UNASAJI WA MAPOCHOPOCHO YA OCTOBER 2013 HAPPY PARTY HARD PEOPLE MJI MKUU WA UINGEREZA LONDON '''
USIKOSE KURUDI MORE PHOTO'S TO COME''PIA FOLLOW THIS BLOG''

No comments:

Post a Comment