KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 7 October 2013

BY: FLORA LYIMO ~ HAHAHHAHHAHAAA''NIMECHEKAJE''HEBU NJOONI TUCHEKE NA OUR PRESIDENT ON HIS BIRTHDAY TODAY'' HAPPY BIRTHDAY RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE '' MAPEMA MWAKA HUU ALITUKUMBUSHA MAMBO YA WAKOLONI NA KUTUAMBIA KWAMBA'' MACHOO YA WA AFRICA HAYAKUWEPO MADUKANI '' UKIULIZA UNATAKA KUNUNUA UNAAMBIWA HAMNA NENDA UKACHIMBE MWENYEWE ''MAANA MACHOO YETU NI YA KUCHIMBA MASHIMO ''HAHHHAHHAAA''MBUTA NANGA!! MSIKILIZE HAPA'' VUNJA MBAVU NA OUR CUTE RAIS'' BE BLESS ALWAYS RAIS WETU KIPENZI!!


WISHING YOU A VERY HAPPY BIRTHDAY MR PRESIDENT 'BE BLESS ALWAYS NA UZIDI KUTUONGOZA VEMA NA PIA KUTUONGEZEA HUDUMA MPYA TANZANIA,WATU KUWA NA KAZI (MWANAMKE KAZI -MWANAMME KAZI) KUANGAMIZA UFISADI,NJAA ,WIZI ,UJAMBAZI ,WATU KUMWAGIWA TINDIKALI OVYO NA MWISHO KABISA UBAKAJI HASWA UONEVU KWA KINA MAMA NA WATOTO WAO'' TANZANIA WE NEED IMPROVEMENT'S AND NOT CHANGE'S'' WE ARE HAPPY WITH VIONGOZI TULIO NAO PAMOJA NA VINAVYOTUONGOZA RIGHT NOW'' ALL WE NEED IS IMPROVEMENT'S NA SHERIA KUFUATILIWA NA KUTIMIZWA'' HASA KUTUMIKA KISEREKALI NA SIYO KIRAIA''  NI HAYO TU RAIS WETU ''ENJOY YOUR DAY'' 
HAHHAHAHHAAAA'RAIS SIJAWAHI KUSHEKESHWA HIVI NA WEWE ''YANI HII NI YA MWAKA NA SIJAWAHI KUISIKIA NA SIKIA LEO ON YOUR BIRTHDAY ''KWAMBA '' ZAMANI HIZI UNAKWENDA MADUKANI KUNUNUA CHOO'' UNAKUTA HAKUNA CHOO CHA AFRICAN ,,WHY ?KWASABABU UNAKWENDA KUCHIMBA SHINO MWENYEWE''HAHHAHAHAHAA''KWELI JAMANI DUNIA IMEBADILIKA SANA NA THANKS KWA VIONGOZI WETU WA DUNIA NZIMA AMBAO WAMEWEZA KULIPINGA VILIVYO HILI GONJWA LA UBAGUZI WA RANGI ''UKOLONI KUANGAMIA KABISA'' ANYWAY ''MY NYOTA ZANGU ''ENJOY AND LETS KWA PAMOJA TUMTAKIE RAIS WETU MIAKA MINGI YENYE AFYA NA FURAHA TELE''AZIDI KUCHEKA NA KUTUCHEKESHA HIVI'' FLFP''

2 comments:

  1. hahahhahahahhaaaa''HATA MIMI NIMECHEKA SANA kumbe FLORA LYIMO UNA AKILI HIVI'' Upo juu Mamii'' HAPPY BIRTHDAY RAIS KIKWETE'''

    ReplyDelete
  2. Nice one Flora Lyimo ''thanks kwa kutuwekea hii and Happy Birthday MR PRESIDENT''
    Hivi unajua wanao sema huna akili na hujasoma wajua wao ndiyo zimewakatika kabisa'' yani sijawahi kuingia Blog ya wabongo nikakuta hata moja la kuelimisha ''ni majungu tu' mitusi ndiyo usipime'' but Flora Lyimo unawaonyesha jinsi ya how to Blog'' oh' and how to look sexy at home''mbuta nanga' I Love your blog and will Always be your number one FAN

    ReplyDelete