- HARD TALK ~ ALL WE NEED IN TANZANIA IS IMPROVENT'S AND NOT CHANGE'S''' IMPROVE MATUSI YENU KWA MFANO ''(Mpumbavu) KUWA MWEREVU ''' MATUSI HAYATAIJENGA TANZANIA AU NCHI YOYOTE BALI KUIABISHA '' MMESHAONA ANYONE WHO IS INVESTING ON HATERS? OR MTU ANAE NUNUA MATUSI TENA YALE YA ZAMANI? HATA MAPYA KAMA YAPO ? NI NO KABISA'' SO JIULIZENI NI KWANINI MTU AKIFANYA JAMBO JEMA HAKUNA ANAE SHUGULIKA NAE? NA ...WALA HUTOSIKIA VILE VIBLOGNUKA VIKIMSOGELEA HATA KWA ANONYMOUS?
Yani kwa kweli narudia tena TANZANIA WE ONLY NEED IMPROVEMENTS AND NOT CHANGE'S'' INPROVE HIVYO VIBLOGNUKA VYENU NA KUVIFANYA VIBLOGFRESH KAMA CHA FLORA LYIMO FASHION POLICE' BLOG YA FLORA LYIMO INAKUPA MAMBO YAKO KIUKWELI INAKUKEMEA UACHE KUFANYA UYAFANYAYO 'INAKULETEA MAMBO YAKUIGA YANAYOTENDEKA ULIMWENGUNI 'JAPO HUTOPENDA UAMBIWE UKWELI 'MWISHO WA SIKU UTAKUWA USHAAMBIWA UKWELI NA SIYO KWA MATUSI HASA YA NGUONI ''NA SIYO KWA UMBILE LAKO WALA SURA YAKO KIMATUSI ''BALI KWA ULOFANYA KIUSTARABU AU KIMFANO '' HASA KWENYE MAVAAZI ''VAA UPENDAVYO KWENYE SHUGHULI ZAKO ,LAKINI USIENDE KWENYE SHUGHULI ZA WENZIO KUWACHAFULIA SHUGHULI ZAO'' UNAAMBIWA UVAE RANGI FULANI WEWE NDIYO UNAVAA ILE RANGI YAKO UNAYOPENDA WEWE..BASI SIUFANYE SHUGHULI YAKO ? UTUALIKE TUJE KUKU TOP UP HIYO RANGI YAKO UNAYOIPENDA WEWE'' KUDADAMBIVUU 'WEE MBUYU NINI ''MBUTA NANGA''
NA VIONGOZI WETU TUNAWAPENDA NA TUNAWAKUBALI 'ALL THEY NEED IS TO IMPROVE VILE WANAVYO ONGOZA YALE WALIOPANGIWA KUYASIMAMIA'' BE ON TIME'' KNOW WHAT IS GOING ON AROUND YOU AND AROUND THE WORLD'' HASA PALE UNAPO ITISHA MKUTANO '' DAY , LOCATION AND OTHER EVENTS ON THE DAY ARE THE KEY POINT TO LOOK OUT FOR'' SIYO UNA FANYA BORA WATU WACHACHE WAJE KULA NYAMA CHOMA '' VYAKULA VYA BURE''TENA NI MARUFUKU WATU KUFANYA MIKUTANO NA KUTANGAZA KWAMBA KUNA MAVYAKULA YA KUMWAGA'' YANI HICHO NDICHO MLICHOONA CHA MUHIM WATU TUACHE KAZI ZETU TUJE KUKAA NA HATERS MEZA MOJA TUKILA NYAMA CHOMA VYAKULA'' ? YANI I HOPE RAIS ATAISOMA HII''HAKUNA KUFANYA MIKUTANO YA VYAMA USIKU NA VILE VILE HAKUNA KUKUWEPO NA VYAKULA VYA BURE'' WEKENI MAJI TU'' VYAKULA VIKUWEPO KANDO PEMBENI KABISA KWA KUUZWA NA SIYO ANYTHING TO DO WITH MKUTANO HUO'' ANYWAY 'NI HAYO TU''MENINE BAADAE WACHA NICHAPE KAZI KWANZA MCHAGGA ULAYA MIMI NIKIKOSA KUINGIZA HELA YANGU YA SIKU NAONA HAKUJAKUCHA BADO NIMELALA'''MBUTA NANGA'' RUWA MANGI'''
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Tuesday, 8 October 2013
BY:FLORA LYIMO~ HARD TALK~ ALL WE NEED IN TANZANIA IS IMPROVEMENT'S AND NOT CHANGE'S!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
I go into our blog each and everyday just to see what u have post.Am ur number one fun.Siku ambazo unahuzunika kwa baya lililokutokea nahuzunika na ww,n wen ur happy I also happy with u.Blv me'
ReplyDelete