KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 8 October 2013

BY:FLORA LYIMO ~HAPPY PARTY HARD PEOPLE WEEKEND OCTOBER 2013 IN LONDON ' SEXY AND NO SHOES ' YANI VIATU VINAKUVAA BADALA YA WEWE KUVIVAA'MBUTA NANGA!!

 UMEONA BANGILI LANGU '' NILILINUNUA KWA BEI POA AT FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES OXFORD STREET LONDON aka MTAA WA MAPESA'' MBUTA NANGA'' CHEZEA WASICHANA WA KANDO KANDO YA MJII MKUU NYIE''

HAOOOOOOO''NA VIATU VYAO VILIVYOWAVAA BADALA YA WAO KUVIVAA''HIVI KUNA HAJA GANI YAKUTOKA NAVYO NYUMBANI '' I LA VIATU NDIYO MPANGO MZIMA BWANA NDIYO MAANA NASEMAGA''NUNUENI VITU KWA HAM NA SIYO FOR MAISHA'''
 HAO PEKU PEKU 'HIVI HAWAOGOPI KUKATWA NA CHUPA AU NAKITU CHOCHOTE ''
 HABARI NDIYO HIYOO''WENYE MACHO HAWAAMBIWI TIZAMA''
 POZI FOR FLORA LYIMO FASHION POLICE'' HOW PRETTY IS SHE'''

 MORE POZI FOR YOU FLFP WE NICE TO SEE YOU ''HAHAHHAAA'' WE NICE KWA KWELI'

 SIJAOWA NIPO FREE''SINGLE GIRLS WHERE ARE YOU '''I LOVE THE WAY ALIVYO VAA' SMART MANNNN''

 HAHHAHAA'CHEZEA WATU NA MADUKA YAO WANAYOPENDA TO SHOP IN '' HUYU KANUNUA DUKA NZIMA HASWAA''SIJUI ANAKWENDA KUUZA KAMA FLORA LYIMO DESIGNS &TRADES'' YANI USIKU HUU YEYE BADO ANABURUTANA NA SHOPPING ZAKE''
 ONA SASA MJI MKUU LONDON UINGEREZA UNAVYOWACHANGANYA WATU WANAPOKUJA KUUTEMBELEA' MAMBO MENGI MPAKA MUDA WA KWENDA KUKAA CHINI UPATE DINNER HUNA YANI UNAONA UTAPITWA NA CAMERA YA FLORA LYIMO FASHION POLICE'MBUTA NANGA!!
 PICHA YASEMA YOTE JAMANI'''NO MANENO ''
 DUKA LAO LAKUFUNGULIWA USIKU ''''YANI HAWATAKI MCHEZO NA HELA KABISA'
 NO MANENO '''
 MABADILISHO YA VIATU ''
THE NIGHT IS OVER THE OCTOBER FIRST WEEKEND IS OVER 'NOW IS THE TIME TO GO HOME''BAJAJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII'''

No comments:

Post a Comment