FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
NDUGU ZANGU WATANZANIA POPOTE PALE MLIPO NATUMAINI HAMJAMBO''
MIMI NIMEONA NIWAAMBIENI YOTE AMBAYO YANATENDEKA KISIRI SIRI AU NISEME KIWALE WALE'' WATU WANAKUCHEKEA USONI LAKINI MOYONI ROHO ZINAWAUNGUA KWA UNAWIKI WAO HASA KWA MAMBO ULOWAZIDI NAYO ''SIYO BURE WATU KUKUSEMA SEMA WAKATI HAUPO NA UKIKUWEPO WANAJIFANYA WEWE NI RAFIKI YAO MKUBWA'' WACHANI NIISHIE HAPA MAANA NAENDA KAZINI KUTENGENEZA PAUNDI ZANGU '' SASA NAOMBA MUWACHENI COMMENTS ZENU HAPA NA NITAZIACHIA KISAWA SAWA NA KAMA UNAWAOGOPA HAKUNA JINA LAKO NITAKALO LITTAJA HAPA ''ILA HABARI YAO LAZIMA WATAILA MARA TATU KWA SIKU FOR LIFE''MLO KAMILI WAKUJIREKEBISHA TABIA ZAO'' UNAFIKI NA KUTOKUWAAMBIA WATANZANIA WOTE WAISHIO UINGEREZA NI NINI HASWA KINAFANYIKA WAKATI GANI NA BADALA YAKE WANAPIGIANA SIM WENYEWE KWA WENYEWE NA INBOX NDIKO MAMBO YANAKOSAMBAZIWA ILI WENGINE WASIONE NA KUJINAFASI KWENDA KWENYE MIKUTANO YA WATANZANIA CCM,AU CHAMA CHOCHOTE KILE ''WATANZANIA WOTE WANA HAKI YAKUTANGAZIWA NA TENA MAPEMA ILI WAJIPANGE NA SIYO KURUSHIA WATU MATANGAZO IN INBOX NA KUWEKA KWENYE BLOG OVER NIGHTS'' WATU WAPO NA MIPANGO YAO KILA SIKU SO WANATAKIWA KUJIPANGA MAPEMA '' NA SIYO KUJA KUTUMIWA MIPICHA WAKATI SHUGHULI ZISHAFANYIKA''NA VILE VILE KUSEMA NI MKUTANO UNAOMHUSU FULANI NA KUMBE SIYO MNAACHA ANAE IENDESHA NCHI NA SHUGHULI HIYO ''KISA NI NINI ZAIDI ? NI KUANDIKA HAMJUI AU NI MASHAUZI YA MAJI MAJI TENA MACHAFU ? I NEED TO KNOW AND IF YOU HAVE SHIDA NA FLORA LYIMO KUPIGA PICHA YA PAMOJA NA WEWE AU NYIE ''NIAMBIE USONI UNAPONIONA AU KABLA YA KUPIGA PICHA HIYO ''PUMBAVU ZAKO NA PUMBAVU ZENU ''SIWAOGOPI NA WOTE TUPO HAPA UK ''NAISHI NA FANYA YANGU NA SIJIFICHI CCM AU KWENYE CHAMA CHOCHOTE BILA KUJUA HATA ULIPO AMKA LEO ASUBUHI ULIAMKIA UPANDE GANI WA YOUR BED''PUMBAVU ''WANAFIKI WAKUBWA'' KWANZA MLICHAGULIWA CHAGULIWAJE HADI KUJITANGAZIA HIVYO VYEO MNAVYOITWA? YANI HUJUI LOLOTE NA KWENYE MIKUTANO HIYO UPO UMELALA MEZANI HUKU WATUAMBIA WEWE NI FULANI WA CCM AU CHAMA FULANI HADI NA WABUNGE WABAKAJI ''HIVI TANZANIA TUTAOGOPANA HADI LINI ? YANI NAWAHAKIKISHIENI HATA MUENDE KWA MGANGA GANI KAMA MNAVYONIOGOPESHA ''HUYO MGANGA ATAKUAMBIA WAZI ''HUYO FLORA LYIMO SHE IS GOD'S GIRL''UKIMGANGIA UTAKURUDIA WEWE MWENYEWE TENA HAAMINI MAUGANGA KABISA..YANI I DONT KABISA''NA MSHINDWE KATIKA JINA LA YESU'' NAWAAMBIENI HAPA NA NIKIKUTANA NA NYIE NAWAAMBIENI VILE VILE''NA USINIETE KWA UNAFIKI KUNIAMBIA UPUMBA WAKO WA UNAFIKI''I HATE TWO FACE'S''' WATU NA YUSO MBILI NI ADUI MKUBWA WA MAISHA YA BINADAM WA LEO HASA WENYE MAPENZI MAKUBWA NA NCHI ZAO KAMA FLORA LYIMO'' NI HAYO TU ..NARUDI NA PICHA ZAO HAPA HAPA''
HAVE NICE DAY AND WEEK HII YA KWANZA YA MWEZI WA KUMI NA MOJA'' NOVEMBER 2013'' BE BLESS ALWAYS''STOP UNAFIKI WENU NA PENDENI UMOJA ZAIDI''
FLORA LYIMO''
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Monday, 4 November 2013
BY:FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS'' HII NI KWA WATANZANIA WOTE' NAOMBA MSOME NA KUJIANDAA KUNITUMIA CHOCHOTE AMBACHO MNAKIONA KINAWAKERA KUHUSU HAWA WANAFIKI WA CCM (CHAMA CHOCHOTE)NA WALE WANAOJIBANZA KWA WANAOFANYA KAZI UBALOZINI UK''WANANAFIKI WAKUBWA WAKIONGOZWA NA MARIAM MUNGULA '' OWINO NA WENGINE HATA MAJINA YAO YAMEGOMA KUJIANDIKA KWA UNAFIKI WAO''SASA WACHENI MAONI YENU HAPA HAPA ..NAELEKEA JOB NIKIMALIZA NITAWAPENI MKANDA MZIMA ''
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wewe unakasirika nn mwezi mchanga sasa kwani lazima upigiwe simu na umemuona mariam tu Tinno mbona hajakuambia au.basi.unataka kuongea tuuu
ReplyDeletePumbavu mwezi mchanga huna.la kufanya wewe
ReplyDeleteFlora Lyimo 'hapa ndipo nakupendeaga,makavu live''na hujakosea kabisa yani wabongo waishio majuu niwakukaa mbali nao kabisa tena mimi hata wakiniita wakipiga sim zao najifanya nipo nnje ya mji kabisa'''hasa huyo mariam ni mnafiki na hata hiyo CCM haimfai kabisa''wewe Dada Flora ndiyo unawaweza ...wape wapeeeeeeeeeeeeeeeee''
ReplyDeletewewe mdau hapo juu'unasema nini? flora hajakasirika kwa kutokupigiwa sim,,kakasirika kwa watanzania kutokutangaziwa Rais alikuwepo na badala yake wakatoa mipicha baada ya Rais kuagwa ''upo hapoo'''au hujaona blog ya mnafiki queen jestina ..tangu awe wakufanya usafi ubalozini basi anatanua na habari za CCM na watanzania kweli..na akipewa ubalozi ndiyo tutakoma'mbutananga'
ReplyDeleteJAMANI MIMI NAOMBA MSI COMMENT MATUSI HAPA ..SIJAWEKA TOPIC KWA AJILI YA KUWATUKANA WATU NA FAMILIA YAO ''PLEASE LETS COMMENT MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUSOMWA NA WAHUSIKA NA KUWEZA KUJIREKEBISHA ''WE WANT KUONA MAENDELEO NCHINI TANZANIA NA SIYO CHUKI CHUKI BINAUSI ZA WATU NA MATATIZO NA MAISHA YA WENZAO.....MIMI NATAKA WHEN IT COME TO ANYTHING TO DO WITH NCHI YETU TANZANIA KUSAHAU HATA KAMA UNAUGOMVI NA MMEO AU NA MAMA,BABA YAKO IKIWA PIA NI KIONGOZI WA CCM'' (WAKULAZIMISHIWA) YANI TUNATAKIWA HUU UNAFIKI UONDOLEWE HARAKA..NA OLE WAO NISIONE HAYO MATANGAZI 'TENA WANATAKIWA KUTANGAZA IN ONE MONTH AU IN TWO WEEKS'' ILI WATU WAJIPANGE NA KUWEZA KUHUDHURIA MIKUTANO HIYO NA SIYO KUJITANGAZIA WENYEWE KWA WENYEWE NA MWISHO WA SIKU UNAKUTA WATU WALE WALE WAKILA SIKU 'HADI HATA RAIS MWENYEWE KESHAWASTUKIA HATA USONI HATAKI KUJIONYESHA NAO TO FACE THE CAMERA''''PICHA ZINASEMA YOTE''NYIE KATAZAMENI PICHA MTAJIONEA WENYEWE''
ReplyDeleteLINGINE NI KWAMBA..COMMENTS ZENU NYINGI NIMEZIBANIA KWASABABU YA MATUSI MNAYOWATUKANA WATU''''''AGAIN COMMENTS ZENYE ASILIMIA 80% YA MATUSI HAMTOZIONA HAPA.....
ReplyDeleteWe nae unajipya kwani lazima wakuambie jipange, embu fungua instagram uone watu wanavyokuchamba we Huna habari, achia coment ndio maana blog yako inadoda
ReplyDeleteNimeona mipicha yao eti wamejikusanya wameenda kumuaga Raisi tena Hotelini inahuu? ushambenga tu na yule kimbaumbau Mrs Meru kutwa kujipendekeza kwa wafanyakazi wa ubalozi. Flora wape maukweli yao wanafiki wakubwa hao
ReplyDeleteflora sema ukweli, sie wote watz mbona hatujaona hayo matangazo yao ya uongouongo. huyo jestina na maryamu wote wanafiki na wambeya tu hawana lolote hata shule hawajenda huo uongozi wanautolea wapi? wezi tuuuuuuu
ReplyDelete