IPO SIKU NITAACHIA KUYASHIKILIA NA MIKONO AU NA CHOCHOTE KABISA''MBUTA NANGA''MTAKESHAJE KILA SIKU BADALA YA SIKU MOJA KWA WIKI!!
HAHHAAA'YANI HUYU ALIEPIGA HII SIM ANGEJUA NILIVYOKUWA NA KAZI MUHIM YA KUWAUWA HATERS HAPA 'ASINGEPIGA KABISA''ILA SIM YAKE ILIKUWA YA MUHIM KWANGU PIA''SO NDIYO HIVYO DADA YENU ANAFANYA YAKE NA YAKUWAFUNDISHA MATAIFA YA LOLALA KAMA TANZANIA WAAMKE NA KUYAFANYA YAO ''HASA KAZI ZAKUJIAJIRI ''' NJOONI MKOPO EXPRESS OF LONDON ACCESSORIES ' ANYTIME FLORA LYIMO YUPO KWA AJILI YENU KUWASAIDIA ILI NANYI MPENDAO KUJISAIDIA MUWEZE KUJISAIDIA NA VILE VILE KUWASAIDIA NA WENZENU PIA''KAMA NILIVYOWASAIDIENI NYIE''RUWA MANGI!!
HAPA SITAKI MCHEZO ''NO KUCHEKA NIKUPIGA MAHESABU TU''
KUNENEPA KUNADILIIIIIIIIII''HAPUNGUI MTU HAPA KABISAA'MBUTA NANGA''NIPENI NYAMA MIFUPA KULENI NYIE'''
HABARI NDIYO HIYOOOOOOOOO''JAMANI MAMBO YANI BADOOOOOOOOO''TUNAENDELEA NA JEMBE NI LILE LILE''MKULIMA NI YULE YULE''WANUNUZI NDIYI THE TALK OF MUJINI NA WANAOHUUUUU'''KARIBUNI SANA''
hahahahahhahaaaa,nimecheka mpaka nimepaliwa..flora lyimo wewe ni the kiboko yao haki ya mangi..
ReplyDelete