KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday, 1 November 2013

BY:FLORA LYIMO ~LAST WEEK IT WAS THE WEEK THAT FLORA LYIMO ALIFUNGA TO BLOG ,FACEBOOK AND WHATSAPP NA KWENDA KUSALI ROZARI'' HAPA NI MITOKO YA KANISANI NA YA JUMAPILI YA MWISHO YA MWEZI WA KUSALI ROZARI WA BIKIRA MARIA''BAJAJI ZA ULAYA ZILIHUU" RUWA MANGI!!

 UKIONA HIVI JUA KIPINDI CHA BARIDI KIMEKARIBIA ULAYA'LONDON"
 MREMBO OF SUNDAY KIKANISANI ZAIDI ''MKITAKA KUCHANUA KAMA YEYE 'WASILIANENI NA FLORA LYIMO FASHION POLICE' WHATSAPP +44 7787471024'SHOES AND HANDBAGS KWA SANAAAA!!!

 FAB'''''''''''KUMUIGA NI BURE KABISA JAMANI..

 FLORA LYIMOWA FL DESIGNER& TRADES'' NAE SASA AJITOKELEZEA NA AVIUZAVYO ''WEWE UKIONA KITU HAPA UMEKIPENDA MUWAWASHIE TAA FLORA IN  WHATSAPP ''

 ANASA NA KUNASIKA HUYOOOOOOOOOOO''MBUTA NANGA!!
 KIDOTI DOTI BAG NA VIATU VYAKE VYAKUMECHISHAA''VYAPATIKANA PIA''BILA KUSAHAU HIYO CROCHET HEADBAND''BY:FLORA LYIMO''
 MPANGO MZIMA WA KANISA HILI AMBALO NILAKWANZA KUJENGWA HAPA UINGEREZA KARNE YA 17'' YANI HEBU FIKIRIENI HAPO SASA TUPO KARNE IPI''

 MTAKATIFU.................TAJA JINA'''......................!! UTUOMBEEEEEEEEEEEE,,EEEEEEEEEE,,EEEEEEEEEEEEEEEEEEE!! WATAKATIFU WOTE'''MTUOMBEEEEEEEEE!!WACHANA NA ROBERT DYAS'' YANI HATA OFFICE KULEEE HAWAHUSIKI ILA WAMENASIKAAAAAAAAAA''HAPA NI FLORA LYIMO FASHION POLICE,TREDER ,DESIGNER AND PHOTOGRAPHER" NDIYO MPANGO MZIMA WA OCTOBER MWEZI WA BIKIRA MARIA''KUSALI ROZARI NI MUHIM SANA NA BILA KUSAHAU KUTEMBEA NAYO POPOTE PALE UENDAPO 'KWANI TUSHAAMBIWA NA MAMA YETU BIKIRA MARIA''TUSALI ROZARI NA KINA MAMA TUZIBEBE KWENYE MIKOBA YETU''AMEN!!

No comments:

Post a Comment