KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 19 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~BREAKING NEWS~ MANGE KIMAMBI AMUONYESHA JESTINA GEORGE HOW TO DRESS FOR YOUR WEDDING ANNIVERSARY PAMOJA NA KUWA NA MIMBA'MANGE AKA MUKE YA MUZUNGU LOOKING SO SEXY ' AND ALSO OUR LAPTOP IS BACK NA FLORA LYIMO FASHION POLICE MISS YOU SO MUCH MY FAN'S '' TUMEKUJA NA JEMBE LILIE LILE KAMA KAWA'' HAVE YOUR SAY ''

KABLA YA YOTE 'FLORA LYIMO ANAPENDA KUWAPONGEZENI NYOTE ''AKISEMA HAPPY WEDDING ANNIVERSARY TO MANGE KIMAMBI NA GESTINA GEORGE'' MZIDI KUBARIKIWA NA NDOA ZENU MDUMU NAZO MILELE'''RUWA MANGI!!
 SEXY MAMA AKA MUKE YA MUZUNGU NA MIMBA YAKE ,BUT HOW SEXY IS SHE ? YANI NIMEPENDA SANA KILA KITU ,KUNA PALE NASIKIAGA KWAMBA UNAPOKUWA NA MIMBA HUPENDI KUFANYA VITU VINGI AU SIJUI UNAJICHUKIA 'LAKINI MANGE HEBU MUONENI HAPA HADI ANATAMANISHA MTU KUWA NA MIMBA AISEE'' KWA VINGINE I THINK PENGINE SIYO KWA WOTE SO IF HUNA TATIZO NA MIMBA YAKO THEN ..MUIGE MANGE HAPA'' MIAKA MINNE KWENYE NDOA YAKE NA BADO SHE DRESS SEXY AND LOOK SEXY KWA MUZUNGU WAKE YANI HAPA HAASHIKI MTU ''''SASA JAMANI JIPANGENI UPYA WALE MNAO OLEWA ALAFU MNAANZA KUVAA BILA KUJALI HOW SEXY YOU SHOULD LOOK LIKE KABLA HUJAOLEWA NA VILE VILE HATA KUMFANYIA YOUR HUBBY ULOKUWA UNAMFANYIA MKIWA BADO HAMJAOWANA 'MJUE KWAMBA HIZO NDIZO SABABU ZINAZOWAFANYA WENGI KUACHIKA'' YOU ONLY DRESS SEXY WHEN YOU ARE GOING OUT TO THE PARTY ZA MAHARUSINI AU NYINGINE NA TENA HATA MME WAKO KUHUDHURIA YANI UJUE UNAIPOTEZEA NDOA YAKO TARATIBUU''IGENI HAPA KWA MANGE NA KUNA WENGINE PIA AMBAO WAPO KIBAO ''WHO DRESS SEXY ALL THE TIME FROM DAY HAWAJAOLEWA NA MPAKA WAMEOLEWA NA WAJUKUU JUU'' ANYWAY ..ENDELEA KUTIZAMA PHOTOS''


 YAPU ..CL LAZIMA IWAKILISHE KWA MANGE MGUU'' YOU KNOW WHEN YOU LOVE YOUR THING''NOTHING WILL STOP YOU EVER ''DO YOUR THING MY PEOPLE''

 MANGE MUKE YA MUZUNGU MPENDA CHINES'' AKIINGIA KWA MR .CHOW IN BEVERLY HILL'S'' KWA MA SUPER STAR HUKO NA MTANZANIA STAR WETU NAE  AWAWAKILISHA WATANZANIA'''
 NOW IS TIME TO HAVE YOUR ANNIVERSARY DINNER JUST THE TWO /THREE OF US'' OK SIMNAJUA NI MJAMZITO MANGE, SO LAZIMA NA MTOTO ALOMBEBA AHESABIWE'' YANI SO SEXY AND ROMANTIC KWA KWELI '' SI MNAJUA FLORA LYIMO NI MSEMA KWELI 'SASA HAMNA HAJA MTU AFANYE KWELI MSIMUAMBIE BALI MUMUAMBIE ANAPOFANYA VIBAYA TU''IS NOT WHAT FLORA LYIMO FASHION POLICE ANAFANYA'' SO HABARI NDIYO HIYOO''HABARI YA MUJINI KULEE MTAA WA PILI NA MTAA WETU WA HAPA HAPA LONDON ''

 HAPA NDIYO ROMANTIC DINNER YA WEDDING ANNIVERSARY YA MANGE KIMAMBI NA HER HUBBY ILIVYOISHIA'' AND HAYA NI MANENO YAKE ALOANDIKA MWENYEWE AT HER BLOG'
Wow, its been 4 yrs of marriage. With a 3 yr old son together and another on the way,only God knows how thankful I am.

Its been 4 yrs of joy, laughter, tears, ups and downs but mostly its been 4 yrs of REAL LOVE and for that i am grateful.
Marriage is not a walk in the park. It takes real dedication, maturity,understanding, compromise, forgiveness and being selfless to make it work.
Marriage is a process, each yr you grow together you learn more and more about one another, some of the things you learn of your loved one you may not love but you eventully learn
to love them for who they are, what they are and how they make you feel.

So what have i truelly learnt after 4 years of marriage???????
My husband is an angel of earth, a man so rare, so sweet, so sincere.
I have learnt that he loves me unconditionally, he loves me at my best , loves me even more at my worst.

The day he stops loving me i will know it was my fault for my husband is perfect, a rare human being that has so much love to give.
For the 4yrs i have been married to him , he has never hurt me, he has never made me cry.
OK ,IM CRYING AS I WRITE THIS SO I GUESS HE HAS MADE ME CRY......lol

On this day, our 4 yr anniversary I promise to be a better wife to you, the best wife i can be. I promise to not take you for granted. I want to be thankful and grateful for your presence in my life.
I know you say I am a good wife but i want to be better because you only deserve the best because you give me the best of yourself each and every day.
Everything you do is for me and our children.

4 yrs today we promised each other FOREVER.
May Allah fill our home with peace and love that we may be separated only by death

I LOVE YOU SO MUCH LANCE............
SINCERELY,
WIFEY
 WELCOME TO JESTINA GEORGE NA HER HUBBY WEDDING ANNIVERSARY YAO NDIYO WALIVAA HIVYOOOOOOOOO NA HAPA WALIKUWA WANAELEKEA KWENYE DINNER AT ONE OF THE BEST RESTAURANT IN TOWN 'GAUCHO'' SO WAO WALIAMUA KUIUNGANISHIA NA BIRTHDAY 'SASA SIJUI KAMA WALIKUTANA HUKO KIBAHATI MBAYA AU KAMA WALIKUWA WAMEPANGA''MAANA HUU MVALIO WA HAWA WAWILI JESTINA NA HER HUBBY 'HAUENDANI KABISAA'' BUT KAMA KAWA YAKE KUCHEKELEA VYA KUWAONYESHA YUPO GAUCHO AMBAPO KUNA SIKU ALINIAMSHAGA USIKU WA MANANE WAKATI TUPO MARAFIKI KIUNAFIKI WAKE,,NA KUNIONYESHA PICHA ZA SPORAH SHOW AKIWA NA BWANA YAKE AT THE TIME KABLA YA HUYU NA ALIKUWA AMESHAZAA KAMA SIJAKOSEA NA KUNIAMBIA KWAMBA ANGALIA SPORAH ALIVYO MBAYA SASA KANICHUKULIA MY BOYFRIEND  NA ANAJUA NILIKUWA NATOKA NAE ,HIVI UNAWEZA KUMFANYIA RAFIKI YAKO HIVYO ? HAPO JESTINA ALIKUWA ANANIAMBIA HUKU AKILIA .SASA NILISHINDWA KUMUELEWA NA KUMUAMBIA SI WEWE USHAACHANA NAE NA SASA UPO NA PETER ? PENGINE HUYO MWANAUME NAE ANATAKA DEM 'SASA NAE KAMPATA SPORAH HUWEZI KUMLAUMU WEWE WACHANA NAE MAANA MSHAACHANA SANA'' SHE WASO ON AND ON HADI HURUMA, ONA HII PICHA FLORA I KNOW MY MAN  WAPO NAE GAUCHO 'NDIPO AKANITUMIA PICHA NIONE ''SASA KUTIZAMA PICHA NI KWELI NILIMUONA SPORAH LAKINI NA HIYO PICHA WALIMKATA MKONO WAKE NDIO ULIKUWA UNAONEKANA TU 'WA HUYO  MWANAUME WALIOKUWA WANAOMPIGANIA AT THE TIME'' AND IS NOT LONG TIME 'IT WAS AKIWA BADO NA MAREHEM PETER 'YANI NINAYO PICHA HIYO NITAWA WEKEENI BAADAE'' AND HAPA NAMKUMBUSHA TU ''MAANA YEYE KWA KUTENDEA WENZAKE MABAYA  YUPO HODARI SANA,NA MIMI KILA NINAPOKUMBUKA ALONIFANYIA AISEE HUWA NATAMANI SIJUI HATA NIMFANYEJE TENA MAANA HATA NA KUMPIGA ASHAKUWA SUGU ''
DAWA YAKE NI KUMKUMBUSHA AACHE UJINGA NA MASHOW-UZI YA MAJI MAJI ''BUT BACK TO OUR TOPIC NI KWAMBA 'JESTINA SHE LOVE GAUCHO NA HAENDI HAPO KAMA SIYO KURUSHA ROHO WALE AMBAO HAWAJUI GAUCHO NA MARESAURANT YA BEI GALI YAKO JE'' MIMI HAWEZI KUNIAMBIA KITU NISICHOKIJUA HII ULAYA'AU MAHALI SIJAENDA HII ULAYA 'MBUTA NANGA!!
 THERE -YOU GO''PICHA ZITAWAAMBIENI ZAIDI ''SASA YEYE BADALA AVAE KAMA ANAENDA WEDDING ANIVERSARY DINNER TENA MBICHI MBICHI ONLY MWAKA MMOJA''YEYE KAENDA KAMA ANAKWENDA KARIAKOO FOR  SHOPPING''
 WAONE HAPA NA TOP ZINATAKA KUVULIWA KWENYE RESTAURANT 'NEXT TIME MKITAKA KUVULIANA NGUO NJE NJE HAKIKISHENI FLORA LYIMO YUPO ATTENDANCE PLEASE'' MBUTA NANGA'KWA RAHA ZENU ETI EEEE''
 SASA HUYU NAE WAKWAKE YUPO WAPI ..MAANA USIOMBE 'KILA MTU ANAWIVU NA HAKUNA WENYE WIVU NA VYAO KAMA WANAUME'YANI ANGEKUWA MKE WA MTU ANAEPENDWA KIUKWEE INGEKUWA NOMAAA'''' NA SIJASEMA HAPENDWI MTU KIUKWEE HAPA ,,I ONLY SAYING HIVYO NDIYO HUKUWAGAAAAA'''DONT DO THIS IF YOU HAVE YOUR HUBBY ''' TO MWANAMKE MWINGINE HUBBY'' OR MWANAUME YOYOTE'' DO TO YOUR OWN HUBBY RUKSA'''NA HIVYO NDIYO WALIVYOKUWA NA MEZA YAO ILIKUWA HIVO WAKISUBIRIA MSOSI AT GAUCHO ''WAKISAHAU KWAMBA WATU WASHATIMUA MBIO KWA SABABU YA HARUFU MBAYA ZA KUVUA VIATU '' MBUTA NANGA!! HONESTLY DON'T DO THIS AGAIN OR MSIIGE JAMANI NI AIBUUU''' NOW NI WAKATI WAKUJIPANGA UPYA'' HII ISHAPITA'''
ANYWAY ''KITU KINGINE MSISAHAU HAWA WOTE NI WANABLOGGER PIA EE''MANGE KIMAMBI NA JESTINA GEORGE''
SO HABARI NDIYO HIYO ''FLORA LYIMO KAONA AWAWEKEENI MAPOCHO POCHO MLIYO MISS SIKU MBILI TATU HIZO WAKATI LAPTOP ILIPOKUFA NUSU'' BUT NOW IS BACK NA MAPOCHOPOCHO NI KAMA KAWA'' ENJOY ''

4 comments:

 1. MTUMEEEEEEE, Nilikua wapi mimi jamani, leo ndio naiona hii POST?
  Naomba niombe msamaha kwanza kabla sijaanza kuchafua hali ya hewa kwa sababu umegusa pabaya?? "Spola My Heart"

  1. Ivi kweli Spo niwakumchukulia Jestina Mashauzi mwanaume?? Wewe Flora dada yangu unamjua Jestna very well, LINI JESTINA alishawahi kuwa na Mwanaume??? wa kwake mwenyewe?? Au lini Jestina aliwahi kutongozwa na mwanaume just kivyakevyake! Au ni lazina amparamie mwanaume wa mtu kwenye ma Baa? "Unakumbuka very well alivyomparamia Peter wa watu, na kufanya kila jambo ili tu Peter ampende" na aachane na familia yake! Hilo nadhani unalijua.

  3. Huyo Kijeba chake A.K.A kibuzi mbilikimo, aliekwambia kama alimuona Jestina akamfuata na akamtongoza kama wanaume wengine nani??? Ilikua Kama kawaida yake AGAIN alimthubuni ivyoivyo na kuingilia urafiki na ndugu zake wa karibu nakuanza kujisifia mtoto wa PASTOR mtoto wa KIKRISTO ili tu aingie kwenye maisha ya DULA, alivyo shetani au nyoka mwenye vickwa sita, akatumia kile kichwa chake cha umalkia akamdhubuni DULA maskini ya Mungu dula akaingia LINE kama alivyoingia PETER (R.I.P) (Poor Dula, Namuonea huruma, siku anamuona THE REAL JESTINA, atakua mfupi kama PIPI GOLOLI.

  Jamani tuulizeni sisi tunaomjua Jestina vizuri.
  Jestina Ndoa yake ya kwanza ilimshinda huko Tanzania miaka 18 iliyopita, na alimfanyia mume wake wa kwanza mambo aliyomfanyia Peter, sasaivi namsubiria tu DULA, (pole sana Dula, Mjini hapa acha kuparukia wanawake LOL) ULIZA KWANZA KAKA.

  2. Jestina a.k.a BIBI KIZEE namjua very well, anajishauwa kwa watu Spo rafki yangu, Spo mdogo wangu, Spo my ASSSSSSS, hana lolote na wala Spor hajawahi kuwa best friend na Jestina kazi kujipendekeza tuuu na kutaka kuishi maisha anayoishi Spora kama kawaida yake ya kutamani maisha ya watu na kuanza kujishaua kwa vitu ambavyo hana.

  Ukweli wa ili jambo da Flora ni ivi, Jestina alijipendekeza kwa huyu kaka wakati akiwa anataka Spo "Kama alivyomfanyia Peter alivyokua anampenda yule rafiki yako, halafu Jestina akamdhubuni yule dada "Unakumbuka Thutched House" Peter hakumpendaga Jestina 1st alimpenda mdada aliekua kwenye Group lenu, ila yule dada siakawa ana play Classy ili kumpa Peter muda amjue Peter (Lady like) Haha Jestina alimmcheleweshea? Jestina akamrukia Peter! (Sasa amemmaliza Peter kabisa hatunae tena), Hili unalijua Flora. Sitaki niseme sana kuhusu ili.

  Sasa Story ya Jestina na my Role model S, sitaki hata kumtajataja jina jamani maana naona kama namkosea sana sana sana Spoo wangu DAH!

  Sasa huyu Mtu unaemuongelea hapa, na yeye pia sitaki nimkosee heshima, alikua anampendaga Spo sana for years, lakini siunajua tena Spo ana Classy kwahiyo hakuparamia vitu, AGAIN (Lady Like) wakawa marafiki ndio Spo ndio shoga Jestina kumtafuta kipembeni pembeni, Uwiii, ZE BIBI/Jestina/Desperate/Cheap/ kwani alichelewa??? Sikumnyakua kwa Spo? kunyumanyuma bila mwenzie kujua.

  Hehehehehe Jestina ndio kujifnya mlokole kwa huyo kaka, kuanza kuvaa nguo za kiafrika na ma DIRA marefuu, na kujidai mcha Mungu mpaka akaanza kuja kutuubiria neno la Mungu huko Barkin kila jumamosi. Hahaha! Jestina Jamani kiboko.

  ReplyDelete
 2. Sasa akaanza kujifananisha na Spo kwa kila kitu, ili tu amWin yule kaka. (Hapo Spo hajui na bado rafiki tu na Jestina SHETWANI. (Am sure aliiba no. ya simu ya yule Kaka kwenye simu ya Spo halow halowwwwww... Mwizi huyo kimbizaaaaa, piga mawe, au choma moto.

  Ok, Ndio kipindi Ze bibi akaanza kum Copy Spo ili afanane nae sasa ili tu yule mtu ampende, Spo yuko University, na Jestina nae akaanza kujishaua naenda university tena akaenda shule ile ile anayosoma Spo, ili tu amu WIN yuke mtu amsahau Spo, (IKO WAPI HIYO SHULE? ALISOMA WAPI? MWENZIE KAMALIZA NA KA-GRADUATE HALO-HALO) Shoga akabaki kuzunguka kwenye MABAA huko East London.

  Haikuishia hapo, Spo TV shoo yake ikaanza kuvuma na kufanya vizuri London, SHOGA AKAONA KHE, ngoja na miE niwe TV presenter ilimradi afanye yale anayofanya Spo, ili tu am WIN mwanaume OVER Spo
  (U-TV PRESENTER UMEISHIA WAPI SASA? Akaishia kupigwa kwenye ma Club hihihihihihi, Penda wewe Flora ulimvuaje WIGI, CHUPI, PIGA PIGA PIGA PIIIIGAA.

  Wala hakukoma akaendelea kum copy Spo kila anachofanya, kama ni nguo, nywele, viatu, na kila kitu, NADHANI ILI KILA MTU ANAJUA Jestina akaanza kumuiga Spo kila anachokifanya, anachovaa ili tu amsahaulishe yule mtu kwa Sp... HEHEHEHEH, Wanasemage BAHATI YA MWENZIO USILALIE MLANGO WAZI JAMANI. (Kilichopangwa na Mungu binadamu huwezi zuia)
  Alifanya kila jambo ali awe na yule kaka lakini Mungu hakufurahishwa, na ndio maana Akatimiza alichokipanga kwa Sp na yule kaka (Usicheze na mipango ya Mungu wewe) HABARI NDIO HIYO.

  Ningependa Jestina aisome hii habari maana ukweli anaujua, najua atabisha sana sana sana, nakuongea maneno mengi lakini ukweli ndio huu. Jestina hana KI-SMART cha kutongozwa na mwanaume, zake ni kuparamia wanaume wa watu.
  Mimi naamini penye ukweli uwongo unasimama, inaweza ikachukua miaka 10 au hata 20 lakini siku moja ukweli utasimama, na Jestina kama unaisoma hii unajua huu ndio ukweli wenyewe na iko siku mama utaumbuka vibaya sana.

  Alivyomfanyia Peter na yule msichna ambaye Peter alimpenda wa kwanza, ndio hayo hayo, ila tu kwa Spo alimuendea Behind her back.

  Mwambie DULA Mmeo atutafute tumpe full Story tena aje na MKEO ili nimwambie mbele yake, maana huu ni ukweli, amezidi kuwazunguka rafiki zake na kuwachafulia majina na kuharibu familia za watu na ndoa za watu lol. MCHWIIIIIIIIIIIIIIIIIIII (Naomba Unisamehe My Inspirational Lady, Hili limenishinda akuvumilia maana huyu Ilibilisi anataka kujipandisha CHAT) kuwa anauwezo wa ku-share mwanaume na wewe? WAPIIII Mpuuzi tu. AM VERY SORRY Spo wangu. I Love you so much and i will die for you.

  Sasa ivi kimemshinda anajipendekeza kwa kina Shamimu, Kiki, ili tu aonekane na yeye wa mjini, lakini jamani Jestina hana lolote yoote ni mashauzi tuuuuuuuuuuuuu.

  ReplyDelete
 3. Alitaka kujiweweka kwenye classy ya Mange Kimambi, yakamshinda sasa ivi anajidai ni shoga na kina Shamimu sijui Flaviana sujui Kiki hahahahahah..! Jestina komesha.

  Muulize dada unawajua hawa watu? ataanza kukwambia rafiki yangu sana au mdogo wangu sana MCHWIIIII Anatumia blog yake kusifia sifia watu ili tu ajipendekeze kwao, then utasikia, my friend, my what my what! Muulize unawajua? hana lolote shetwani tu.

  Siku izi anawapeleka wasanii kwake, anajidai kwakwe, namuonea huruma maana Alimkuta Dula na kilakitu na ataviacha pale pale kama wanawake wenzio walivyopita... Na hatapata hata uridhi maana Dula anawatoto wangapi?? mpaka uridhi umfikie Jestina uwiii inakua imepaki Sh. 50,000
  Ila wakumuonea huruma sana sana hapa ni Dula wawatu maskini ameparamia jiji la London vibaya, najua kwa Dula Jestina atakua ni bikira maria mwana wa Mungu, lakini time will tell. Peter alikanywa sana na marafiki zake kuhusu Jestina lakini kwa sababu Jestina alikua ana ACT kwa Peter kama Angel maskini Peter hakujua, mi mwenyewe nulivyomjua Jestina nilizani Malaika kutoka mbinguni Kha!
  Mtoto wa kike, amewaachanisha watu na wake zao amewatenganisha watoto na Baba zao yani mtoto laana jamani huyu lakini siku yake inakuja, VERY SOON, maana Mungu sio Adhumani.

  Sasa Dula anatakiwa ajuilize Mme wa Jestina wa Kwanza ilikuaje na iliishiaje? asimuulize Jestina maana atampa Story, awaulize watu wa karibu au ndugu wanaojua UKWELI.
  Then ajuulize na kwa Baba wa mtoto wa Jestina ilikuaje, maana alikua anajiita MRS P, hivyo alikua SO-Called Wife, awaulize watu wa karibu je ilikuaje? apete ukweli NOTHING BUT THE TRUTH, Halafu ajiulize yeye ataishiaje?? Pole sana Dula.

  Naomba msamaha kwa waleniliowakwenza, niliwataja, sitarudia tena, maana nikama tunawaingiaza hapa pasipo hata atia, Spo my HERO, i love you so much na i will die for you, sitakaa kuangalia uongo mkubwa kama huu unatambaa kwenye ma Internet na mablog wakati ukweli naujua. Naomba ni samehe na sitakutaja tena, Da Flora naomba tuwatoe wasiohuska kwenye hili, kina Shamimu, Kiki, Flaviana au sijui picha za Graduation ya Spo, ziko kwenye face book ya Spo naetaka kwenda kuziangalia aende tuachane nao na tu DEAL na huyu Kibaka mwizi, maana ni huyu shetanni yani SUMU kali sana. Sasa ivi anashindana na Jembe kali LULU hehehehe eti duka Dar, anachoice gani ya nguo huyo Jestina au ni mpaka aone mtu kavaa na yeye aikimbilie?? AM OUT OF HERE.  Naomba mnisamehe niliwakwenza, ila nimeshindwa kuvumilia,

  ReplyDelete
 4. MBUTA NANGA''' Hivi jamani mnajua hii nilikuwa sijaiona ? yani wewe ulie andika hichi KITABU ''NI NGACHOKA'

  ReplyDelete