MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS
CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com
FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO '' HAPPY INDEPENDENCE DAY MY TANZANIANS WENZANGU POPOTE PALE MLIPO '' TIZAMENI HAPO KWENYE HIYO KUMBUKUMBU YETU YA TAREHE 9.12.1961 NDIPO MWANA ALIZALIWA JINA TANGANYIKA aka TANZANIA'' KWELI NI MUHIM SANA KUTIZAMA TULIKOTOKA NA KUWEZA KUWASHUKURU VIONGOZI WETU AMBAO WAMETUFANYIA KWELI ;;MILELE TUTAKUKUMBUKA MWALIM WETU NA BABA WETU WA TAIFA LA TANZANIA'' FLORA LYIMO SHE IS JUST SO PROUD TO BE TANZANIAN -UK ASIE OGOPA KUSIMAMA IMARA NA KUSEMA KWELI HASA KUFANYA KWELI ''JUST TAKE A LOOK OF HER IN HERE KIPICHA ZAIDI '' HAPA NI MWAKA JANA AT HER LONDON HOME 'CEREBRATING HER BIRTHDAY '' KIBENDERA YA TANZANIA NA RANGI ZETU AMBAZO NDIZO ZA KUJIVUNIA POPOTE PALE TULIPO'' TANZANIA OYEEEEEEEEEEE''TEAM MAKAVU LIVE OYEEEEEEEE''MBUTA NANGA!!
THE CAKE'''''''''''' FLORA LYIMO aka YOU BEEN SNAP BLOG 'aka FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'' YANI THE BLOG IS ONE OF THE TOP BLOGS OUT THERE IF IS NOT NUMBER ONE FOR MAKAVU LIVE THEN ''PLEASE DO TELL US WHICH ONE YOU THINK SHOULD BE NUMBER ONE'' CHEZEA FLORA LYIMO MSEMA KWELI AKUACHE KWENYE MATAA'' YANI HUWA HANAMUDA WA KUSUBIRIA MATAA YABADILISHE RANGI '' NO TIME TO WEST KABISA'' LIFE IS ABOUT FANYA KWELI '''NA UKIWA KWA WATU USIENDE KUWAHARIBIA'' HABARI YA MUJINI NDIYO HIYOO''
CHEERS TANZANIA '' NA WAPENDAJE WALE MARAFIKI ZANGU WAUKWEEE' MNAJIJUA JAMANI ''I DONT NEED KUWATAJENI MAJINA ''BE BLESS ALWAYS ''
HAPO KWAKEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!
HAPPY BIRTHDAY TANGANYIKA aka TANZANIA''09/12/61'' NDIPO MWANA ALIZALIWA'YANI NDIYO TULIJIPATIA UHURU WETU MIAKA 52 TODAY 'NI MUHIM SANA KUWA HURU ''KUWA HURU NA KUWEZA KUFANYA YAKO UPENDAVYO NA BILA KULAZIMISHWA AU KUONEWA'KUDHULUMIWA'' ANGALIA MFANO WA OUR NOW LATE MADELA ''MIAKA 27 JELA 'KATOKA HUKO NA KUWAONYESHA WAHUSIKA KWAMBA HE CAN AND NO NEED OF KUBAGUANI ''UMOJA NDIYO NGUVU YA KULIJENGA TAIFA LOLOTE NA VILE VILE DUNIA KWA UJUMLA'' R.I.P. OUR GREATEST 'MWALIM NYERERE NA MANDELA'' TUTAWAKUMBUKENI DAIMA'' THANK YOU ''NA MLALE PEMA PENYE MWANGA WA UTULIVU''AMEN''
HAPPY BIRTHDAY TANGANYIKA aka TANZANIA aka FLORA LYIMO''YANI ALWAYS SO PROUD TO BE TANZANIAN MAISHA YANGU YOTE NITAIPENDA NA KUIWAKILISHA NCHI YANGU POPOTE PALE NILIPO BILA KUOGOPA KABISA'RUWA MANGI'
CAKE YA FASHION POLICE NDIYO HIYOOO!! ENJOY MY DEARS TANZANIANS ''LOVE AND LOVE ONLY 'DONT HATE!!
out of the topic flora nakupenda sana na hata blog yk haipiti siku sijakutembelea. sijali watu wanasemaje kuhusu wewe, maana walimwengu hata uwafanyenini hawaridhiki, so mimi nakupenda bure flora kutoka moyoni maana wewe mwanamke washoka hujali maneno ya watu wewe unafanya yako. Big up kwa hilo na pia japo sikujui unaonekana unaroho nzuri ya ubinadamu.Hayo tuyaache mimi ni fun wako mkubwa niko u.s.a tangu nimefika huku mdo wangu uso wangu umeharibika sana nimejaribu cream zoote zimedunda, mwenzangu naona uso wako uko soft sana unatumia nini wakwetu kizuri kula na mwenzie unajua hata mtua anayeuza mkorogo nijaribu maana uso wangu sina hamu nayo imeharika vibaya nilipokuja huku niliko uso wangu uliwa soft sana lakini kwa sasa wcha uso wangu naupenda sana nimeangaika nahuu uso wache tu mangi,naomba unijibu kwa comment maana kila siku niko kwa blog yk asante sana ubarikiwe mangi.
da Flora u inspire me alot!!!pliiiz nifanyeje nifike huko kama wewe dadangu??
ReplyDeleteout of the topic flora nakupenda sana na hata blog yk haipiti siku sijakutembelea. sijali watu wanasemaje kuhusu wewe, maana walimwengu hata uwafanyenini hawaridhiki, so mimi nakupenda bure flora kutoka moyoni maana wewe mwanamke washoka hujali maneno ya watu wewe unafanya yako. Big up kwa hilo na pia japo sikujui unaonekana unaroho nzuri ya ubinadamu.Hayo tuyaache mimi ni fun wako mkubwa niko u.s.a tangu nimefika huku mdo wangu uso wangu umeharibika sana nimejaribu cream zoote zimedunda, mwenzangu naona uso wako uko soft sana unatumia nini wakwetu kizuri kula na mwenzie unajua hata mtua anayeuza mkorogo nijaribu maana uso wangu sina hamu nayo imeharika vibaya nilipokuja huku niliko uso wangu uliwa soft sana lakini kwa sasa wcha uso wangu naupenda sana nimeangaika nahuu uso wache tu mangi,naomba unijibu kwa comment maana kila siku niko kwa blog yk asante sana ubarikiwe mangi.
ReplyDelete