KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 22 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~ THIS IS OXFORD STREET IN LONDON 'LAST WEEK BEFORE CHRISTMAS FOR SHOPPERS TO HEAT THE SHOP'S BUT THEY WEAR HEAT WITH RAIN INSTEAD ''

 HEBU ANGALIENI JAMANI SASA KUNA NYESHA ,KUNA UPEPO MKALI NA HUKU UNATAKIWA KUJIKINGA NA MVUA HIYO 'UTABEBA NINI UACHE NINI APA''NA MWANAMKE HASA WA KIZUNGU YEYE ANACHOKIJALI APO NI NYWELE ZAKE ZAIDI YA CHOCHOTE''VIP WEWE HUWA UNAJALI NINI WAKATI UMEANZA KUNYESHEWA?YANI NI NOMAAAAAAA''

 MWAVULI MKUBWA MWYEWE UTAMUANGUSHA SOON 'HAHHAAA''


 THIS WAS OUTSIDE OUR SHOP 'YANI CUSTOMERS WERE NOT COMING IN KABISA ALL WALICHOKUWA WANAKIFANYA WAS KUKIMBIA MVUA NA MAFURIKO HAYA ''

HAPARI NDIYO HIYOOOO'YA MUJI MKUU WA UINGEREZA MTAA WA MAHELA OXFORD STREET LONDON '' TULIKUWA TWATEGEMEA KUINGIZA MAHELA LEO ,LAKINI SIYO VILE TULIVYOKUWA TUMETEGEMEA KABISA''LETS HOPE TOMORROW WILL BE MUCH BETTER FOR US'' ENJOY AND MERRY CHRISTMAS FROM FLORA LYIMO BLOG''

No comments:

Post a Comment