KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 22 December 2013

BY:FLORA LYIMO ~ ZANZIBAR LEO '' TIZAMA PICHA ZIKIJIELEZA ZENYEWE MATUKIO YA UFUNGUZI WA MATEMBEZI YA UVICCM MICHEWENI PEMBA!!

 KUSALIMIANA MIKONO KWA MIKONO NI AFYA NJEMA YA MAISHA YA UONGOZI ''
Samahanini my Fans'' nimeachaga kuchota na kumimina maneno ya watu walioandika wenyewe''kwani Mimi mwenyewe huwa siwaelewi kabisa ''kwani huwa sijui nao wamechota na kumimina wapi basi unakuta majina hayaendani na walioyopo kwenye Picha na Mwisho wa siku unajikuta ukimuita Rais Kikwete ,Rais Obama''ikiwa humfaham'' basi wenzetu kule Home''habari zao unazikuta nyingi haziendani na picha kabisa'' ndiyo maana hata habari za kule Nyumbani nashindwa kuwarushieni hapa maana Mimi sipo Bongo na sana sana siwafaham watu wengi kule Bongo '' basi naona Bora niweke Picha zaidi ''Maana mwenyewe na penda Picha na vile vile Picha huwa hazidanganyi hata kama zipo upside down 'zinajielezea ukweeeeeeee'' Habari ndiyo hiyo '' na nashukuru sana kwa Blog ya Matukio -Michuzi 'Picha zake huwa zipo powa sana'' kwa hiyo anahitaji Pongezi kutoka kwangu kwani Picha nzuri kutoka Bongo mimi huzitoa kwake '' Asante sana na endelea na kuturushia Picha zaidi na zaidi '' Ubarikiwe sana'' 
Flora Lyimo Blog'' 
Wishing you a Merry Christmas and A Happy New Year''
To all The Blogs na Facebook Friends and Fans wangu wa Ukwee' I love nyie kinomaa'Ruwa Mangi!!







HAHAHHAAA'JAMANI TUWAWACHE WAFANYE YAO ''AISEE NIMEIPENDA HII STYLE MPYA YA MWAKA 2014 YAKUSHIKILIA FREM ZA PICHA'' TENA ZA WAKUBWA NA WAZITO WAZITO MABOSS HATAREEEEE'' MBUTA NANGA'
ANYWAY 'PICHA NADHANI UTAKUWA UMEZISOMA NA ZIMEKUELEZA YOTE'
Tumechota na kumimina kutoka : Matukio -Michuzi "

No comments:

Post a Comment