KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 6 January 2014

BY:FLORA LYIMO ~ JANA ILIKUWA NI JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA 2014 AND HERE IS FLORA LYIMO IN CHURCH '' SO BLESSED AND SPECIAL !!

 FLORA LYIMO KANISANI 'YANI HII JUMAPILI YA 05/01/2014 ILIKUWA NI JUMAPILI MUHIM SANA''
I just hope that wengi wenu mliweza kwenda kanisani na kama hamkuenda sababu ni wagonjwa aukwa sababu zisizo za uvivu basi msijali maana Mungu atakuwa keshawaona tiyari na kuwabarikini'' na hata Flora Lyimo aliwawekeni katika sala na katika mishumaa yake sita aliyoiwasha mbele ya Mama Bikira Maria na Mwanae Yesu ''aliembeba akiwa kesha kufa'' Eee Yesu tunakuabudu tunakushukuruuuuuuuuu''Kwani unawakomboa watu kwa Msalaba wako Mtakatifu'' Amen''
 Na hiyo kulia ni Mishumaa SITA ya Flora Lyimo aliyoiwasha kwa ajili ya mambo yake Muhim sita aliyo Muomba Mungu ayamtimizie Mwaka huu na katika Maisha yake yote na Mshumaa mmoja unawawakilisha Marafiki zake Flora wa Ukweli ''Yani wote kwa ujumla msiwe na wasi wasi kabisa Mambo yenu yote yatakuwa powa na vile myaombayo Mungu awajalieni Mwaka Huu 2014'' Yani Mungu husikiliza sana wenye kwenda kwake kwa Imani na kumlilia kwa Imani kama Flora Lyimo '' Yani was just me and my things and my People /Family zangu Mbili na Friends'' yani VITU SITA VYA MUHIM'' MWANGA WA MISHUMAA HII NI WAKUVIFANYA VIWAKE NA KUONEKANA KWENYE GIZA VILIPO'' AMEN'' MWAKA WA KILA KITU UKIHITAJICHO KATIKA MAISHA YAKO NDIO HUU''2014 RUWA MANGI 'AIKA MBEE''
MISHUMAA SITA MUHIM ALIYOIWASHA FLORA BAHATI LYIMO ON 05/01/2014 JUMAPILI YA KWANZA YA MWAKA HUU'' AMBAYO ILIKUWA NI JUMAPILI MUHIM SANA''
BE BLESS ALWAYS MY FRIENDS ''NA HAKIKISHENI MNASALI SANA ROZARI '' NA BILA KUSAHAU KUTEMBEA NAZO POPOTE MUENDAPO '' AMEN'
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG''

No comments:

Post a Comment