KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday 6 January 2014

BY:FLORA LYIMO ~ MBUTA NANGA!! WEMA SEPETU AANZA KUNYANG'ANYWA VITU VYA KI'POSH ANAVYORINGISHIA WABONGO MUJINI'' TIZAMA GARI LILE LA KIFAHARI LIKIKABIDHIWA MWENYEWE'TENA MME WA MTU'''HAHAHAA'' UWII NIMECHEKAJE..JAMANI WABONGO MNAVITUKO HUKO NYUMBANI BALAAAAZZ!!

MBUTA NANGA!!


madam
baada ya kukamatwa


mwenye gari akikabidhiwa
gari yake

Achilia mbali watu binafsi wanaochukua vyao baada ya mambo kuzidi kumwendea ndivyo sivyo, habari ya uhakika ni kwamba Mahakama ya Ilala, Dar imeridhia kukamatwa kwa lile gari lake la kifahari…

“Alikuwa nalo yule dogo ‘waiti’, mdogo wake huyu msanii Diamond. Alikuwa na wenzake pale Namanga kuna kibarabara cha vumbi, walikuwa wanarekodi video. Jamaa walikuwa wanalifuatilia so lilipopaki ndipo wakalipiga ‘tanchi’ (kulikamata),” kilisema chanzo chetu cha kuaminika.
KWA NINI?
Habari za uhakika ziko hivi; Januari 17, 2013, mwanaume aitwaye Clement  (yule kigogo mume wa mtu aliyekuwa mpenzi wa Wema) aliingia kwenye makubaliano ya kulinunua gari hilo kutoka kwa jamaa aliyetajwa kwa jina la George Tesha.
ILIKUWAJE?
Habari zilizochimbuliwa zilieleza kuwa, Clement ana rafiki yake ambaye ana kidosho anayesukuma gari la aina hiyo jijini Dar es Salaam na ‘kuwatesa’ wanawake wenzake.
ETI WEMA AWE NG’ARING’ARI
“Clement naye akasema anataka baby wake (Wema) naye awe anawasumbua na ‘mkoko’ kama huo.
“Tatizo wakati ule magari ya aina ile yalikuwa yanahesabika mjini. Huku na huku Clement akaliona lile gari, akamfuata Tesha na kumbembeleza amuuzie ili akampe Wema naye awe ng’aring’ari mjini.
MAKUBALIANO YANAFANYWA, SHILINGI MILIONI 90
“Jamaa walikubaliana ‘dheni’ Clement akalichukua lile gari kwa makubaliano ya kulipa Sh. milioni 90 za Kibongo.
“Kuna ‘misteki’ aliifanya Tesha kwa kukubali kumpatia gari jamaa bila ‘keshi’ kwa sababu alimwambia amwachie ‘dheni’ akachukue cheki ya mkwanja kesho yake ofisini kwake maeneo ya Magogoni, Dar.
“Kilichotokea ni kwamba kila Tesha alipomfuata ofisini aliambiwa na walinzi kuwa hawezi kuonana na Clement na wakati mwingine aliambiwa hayupo.
NYUMBANI
“Tesha alifanya hivyo mara kwa mara huku miezi ikikatika. Ilifika wakati akaenda hadi nyumbani kwa Clement kule Masaki (Dar) lakini nako aliambiwa hayupo na kama vipi amfuate nyumbani kwa Wema, Kijitonyama.
“Tesha alikuwa hapajui kwa Wema hivyo alianza kupatafuta hadi akapapata nako aliambiwa jamaa huwa anafika na kuondoka zake.
KUMBE SIYO LA TESHA
“Wakati hayo yakiendelea, kumbe lile gari nalo halikuwa la Tesha. Lilikuwa la jamaa mmoja mfanyabiashara (haijulikani ni biashara gani) mwenye mkwanja wake aliyetajwa kwa jina la Shadrack Tweve.
MAHAKAMANI
“Tweve alipoona hivyo vihela (ilisemekana Sh. milioni 90 kwake haimnyimi usingizi) havipati ndipo alipoamua kwenda kufungua kesi ya madai katika Mahakama ya Ilala.
“Mahakama ikaendesha kesi Tweve akimdai Tesha gari lake huku Clement akitafutwa, maana alikuwa hapokei simu wala hajibu meseji zaidi ya kusikika tu mara leo kamfanyia Wema hiki, mara kesho kile.
“Kuna purukushani nyingi zilipita. Hatimaye mahakama ikaamua gari likamatwe akabidhiwe Tweve mzigo wake.
GARI LASAKWA
“Hata kabla ya hukumu ya kesi hiyo, jamaa walikuwa wakilisaka kwa udi na uvumba bila mafanikio.
LAONEKANA MEEDA
“Kuna siku lilionekana maeneo ya Meeda Bar (Sinza-Mori) lakini aliyekuwa nalo akalikimbiza kulificha nyumbani kwa mama Wema, Mariam Sepetu maeneo yaleyale.
LAFICHWA KWA MAMA DIAMOND
“Pia kuna siku nyingine lilionekana Kijitonyama lakini likakimbizwa kwenda kufichwa kwa mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ pale Sinza-Mori.
“Lakini sasa Wema hana tena lile gari na mmiliki halali ni Tweve,” kilitiririka chanzo chetu.
WIKIENDA MZIGONI
Baada ya kujikusanyia data hizo za kiuchunguzi, Ijumaa Wikienda lilifika kwenye ofisi za madalali hao lakini kabla ya kuonana na wahusika lilikutana na gari hilo likiwa ‘yadi’.
Mwanzoni makachero wetu walisita kwa kuwa namba na aina ya gari ni kweli ni lile la Wema lakini rangi ni ‘silva’ badala ya ‘dakibluu’.
KWA NINI ALILIBADILISHA RANGI?
Kuna madai kuwa, Wema alilibadilisha rangi ili lisikamatwe kirahisi kwa kuwa Clement alishaambiwa kuwa linasakwa.
Hata hivyo, walijiridhisha kuwa ni la Wema na kwamba alishalibadili rangi kwa ushahidi wa siku aliyofika nalo Mahakama ya Mwanzo, Kawe wakati wa msala w


AKABIDHIWA
Huku Ijumaa Wikienda likishuhudia, Tweve aliingia kwenye gari hilo, akaliwasha huku akilalamika kuwa limetumika mwaka


 UTEKAJI


story na GPL

No comments:

Post a Comment