KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday, 2 April 2014

BY FLORA LYIMO ~ ALBAM (2) ONA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA WALIVYOMIMINIKA KUKUTANA NA RAIS WAO WA JAMHURI YA MUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ON 30/03/2014 AT WEMBLY PARK LONDON UK'


HERE HE IS,,BAADA YA KUMSUBIRIA FOR A LONG TIME BILA KUSAHAU NJAA NA KIU TULIZOKUWA NAZO'' JAMANI THE THING'S WE DO FOR LOVE NI NOMAAA'',ANYWAY MWAMUONA OUR SUPER RAIS EEE'' YANI THE PHOTO SAY IT ALL'HOW HAPPY HE IS TO SEE WANANCHI WAKE'' HASA KINA MAMA NA WATOTO'' KITU NILICHOGUNDUA KWA OUR RAIS NI KWAMBA HE LOVE KINA MAMA NA WATOTO NA HE CARE SO MUCH FOR THEM ,JUST LIKE WAINGEREZA,AU NI MHESHIMIWA DAVID CAMERON ANAMFUNDISHA? MAANA NI MARAFIKI WAKUBWA ''YANI HAWA WATATU '' USIWACHEZEE.. MH.JAKAYA,DAVID NA OBAMA'' ARE VERY GOOD FRIENDS'AND I LOVE THEM AND HAPPY TO SEE URAFIKI WAO NI WAUKWELI NA SIYO WAKIUNAFIKI'' BE BLESS ALWAYS MARAISI WANGU NIWAPENDAO KUPITA MAELEZO''MUNGU AWABARIKINI MUWEZE KUTUONGOZA MILELE MPAKA MKATAE WENYEWE''RUWA MANGI''MAGARI YALOWALETA WAKUBWA NA WALINZI WA USALAMA WAO''
KWA HIYO LEO DADA HUTAKI KUNIPA MKONO ''EEEE'' MBUTA NANGA!!
MPAKA KIELEWEKE,, WACHA PICHA IONGEEEEEEE''MBUTA NANGA!!
JAMANI WACHENI NIWAAMBIENI KITU KIMOJA TU''' HIZI PICHA ZILIKUWA SHIDAAAA'YANI KUPIGA PICHA TULIKUWA TUNASUKUMWA KAMA WEZI FULANI VILE'' I THINK IS ABOUT THE TIME HAO WALINZI WAO WAWE WANATUMIA AKILI KUTUACHIA NAFASI MAANA IKIWA SISI HATUWEZI KUPIGA PICHA ZA MATUKIO 'LIVE' ''HABARI BILA PICHA ZA KUMBUKUMBU HAZINOGAJI KABISA NA HATA WAHUSIKA WANAPENDA KUONA PICHA ZAO WAKISHIKANA MIKONO NA KIONGOZI WAO AU VIONGOZI WAO'' SO INAFAA WAWE WANATUHESHIM SIE WAPIGA PICHA NA KUTUACHIA NAFASI .
YANI UNAKUTA PICHA ZINGINE NI WAO WAMEZIBAAAA'' MWISHO WA SIKU  UNABAKIA NA MIGUU BILA VICHWA AU VICHWA BILA MIGUU MARA MIKONO BILA VICHWA  KAMA HII HAPA''' POLENI SANA MY DEARS,,I DID MY BEST''AND I'M PROUD OF MYSELF''NA NAJIAMINI SANA KWA KAZI ZANGU AISEE''OUR SUPER MAMA SALMA KIKWETE'' YANI I LOVE HER SO MUCH KWA KWELI'' HAOGOPI KUSEMA UKWELI  KAMA MIMI YANI SHE IS TEAM MAKAVU LIVE'' CHEZEA YEYE'' NOW  DONT MISS NEXT ALBUM OF HER ALIPOKUTANA NA KINA MAMA WAISHIO UINGEREZA UBALOZINI LONDON '
FOLLOW THIS BLOG ON THE TOP MWANZONI KABISA MWA BLOG HII UTAONA HAPO PALIPOANDIKWA NA BLUE 'Follow this blog SO YOU WONT MISS IT''
PICHA ZOTE NA MSEMA KWELI WENU '
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

1 comment:

  1. Awesome information on Blogger: *FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG* SINCE 2011 ALWAYS THE TRUTH AND THE TRUTH ONLY!. It's actually one of the most reliable that I've seen in quite a while. you are a super Star Miss Lyimo aka Miss Fashion Police''

    ReplyDelete