KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 8 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ IN TO SNOOP 'I LOVE HIM JAMANI MWAKUMBUKA BACK 1993 NYIMBO ZAKE ZILIVYOKUWA ON THE TOP YANI MPAKA LEO 'I LOVE HUU KINOMAA...GIN AND JUICE 'SNOPP DOGGY DOGG' MBUTA NANGA!!


 Mwaukumbuka huu wimbo eee'yani nilikuwa sibanduki kwenye dancing Floor kabisa'' I love Snoop and his songs ni full Kutetemesha ardhi '' Enjoy ''weeekend ingine ndiyo hiyoo tena inakuja'''
NIVAEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE'MBUTA NANGA!!

Flora Lyimo na T-shirt  Moja wapo ya ninazozituma Bongo soon ''Yani mpango mzima wa NIVAEEEEEEEEE'' Hahahaha''Kama ukinipenda sana''BABE naomba univaeeeeee''Mbuta Nanga!

Flora Lyimo na Swaga zake za enzi hizo za Snoop Doggy Dogg'' Yani was the best of my time in Mjini baada ya kutoka Kijijini kwetu Moshi '' And sijui ni kwanini sikuishia Amerika maana enzi hizi ni Waamerika zaidi ndio walikuwa wapo Mjini na the talk of all the time''but Bahati yangu haikuwa huko ''Ilikuwa kwa Wazungu wenyewe yani wenye Kizungu''London UK ''Uingereza''Na ndiyo Makao yangu for Life now'' You know Home Tanzania will be always be my First Home''But now nimeishi UK -London kuliko nilipowahi kuishi hapa Duniani''Nahivyo basi kusababisha kulitambua Jiji la London na UK yake yote kuliko popote pale'' 
''I LOVE UK ''Hapa was Mombasa Kenya'' 1993'' Chezea mambo ya Gin and Juice weyeeeeeeeee'' ENJOY YOUR LIFE MY DEARS'' LIFE IS YOU TO MAKE IT THE WAY YOU WANT''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

1 comment:

  1. Flora Lyimo yani wewe huishi vitukooo''nimecheka sana hiyo swagga yako ya 93.ni komeshaaaa...Upo juu mama wacha kazi ziendeleeeeeee''mbuta nanga..

    ReplyDelete