KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 1 May 2014

BY FLORA LYIMO ~ LOVE THE AGE YOU ARE..I MAKE NO SECRET OF MY AGE'' FLORA LYIMO 40 TODAY ''NAANZA FRESH MIAKA MINGINE MWENYEZI MUNGU KUNIJALIA'' I CANT WAIT TO BE 40 AGAIN AMBAYO I WILL BE BIG 80 YEARS OLD'' RUWA MANGI''

 FLORA LYIMO MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO''
Kazaliwa 1974 Hospitali ya Kilema Moshi Kilimanjaro Tanzania'' Kwenye Familia ya Watoto Kumi na Moja'' Mama Mmoja Baba Mmoja'' Mbuta Nanga' My Super Mama sijui how she did it''Only God knows'' Nikimuuliza Mama kwanini ukazaa watoto wengi hivyo Mama ..she say to me'' Mwanangu ''Ukiweza kuepuka Hilo jua wewe ni Mwerevu na Mwenye Akili sana'' And mpaka sasa hivi Sina Mtoto na najiamini kwamba ''Nina Akili na nimuerevu Mno ''and Also ni Mungu anaiongoza kuzifuata Nyota zangu'' na Ahadi zangu ''Tangu sijatoka kule Kijijini Moshi ''Nikijiandaa kwenda Nairobi Kenya 1990'' Nilisema Mungu wangu ningependa niolewe ndipo nizae kama Mama yangu ''My Mama aliolewa akiwa na miaka 16'' na ndipo akaanza kutuzaa''Mtoto wa kwanza akajaliwa wa Ukiume'' You know'' Uchagani kwetu Ukiolewa na kutokumzalia Mme wako Mtoto wa Kiume hata Mmoja basi jiandae kuletewa Mtoto wa Nnje'' Mbuta Nanga'' Wacha niachie hapa'' Nikatafute Hela '' Will be back soon '' My Friend'' Mnao niuliza ni kwanini Sijazaa wala Kuolewa'' Jueni kwamba ''Flora Lyimo ana ndoto zake anatozifuatilia''na ikiwa hazijakuwa za kweli ''Mtasubiria sana kumuona Flora Lyimo kaolewa na kuanza kupambana na Watoto '' Hilo lipo kwa mipango ya Mwenyezi Mungu'' so msijali'' Dunia imejaa tiyari tena bila Mtoto wangu'' Life is about been Happy and kutafuta Hela na siyo kutafuta wanaume na watoto'' Wanaume na Watoto ni mipango ya Mungu'' na wapo siyo kama Hela ''Hela ndiyo utajuta kuzaliwaaaa''' 

 Flora Lyimo At 40'' Sexy and Blessed'' Yani namshukuru Mungu maana kaniumba bila kukosea kitu na kanipa Kila nimuombacho na most of it My LIFE'' Kila niamkapo namshukuru Mungu na Mama yangu Bikira Maria'' they are the Reason why Im here today ''they Help my Super Mama Flora Lyimo kunileta hapa Duniani kuwa na kuweza kuyafanya yangu 'Bila kuwasahau hao ndiyo Wazazi wangu ''Milele kuwajalia Hali na kuwashukuru ''WENGINE HAKUNAGA''' RUWA MANGI AIKA MBEE!!
BY FLORA LYIMO.LOVE THE AGE YOU ARE'' I MAKE NO SECRET OF MY AGE AND I WORK BECAUSE I ENJOY IT SO MUCH ,I WANT TO DEPENDABLE..I WANT TO ISHI NIKIJUA NAPUNGUZA SHIDA NA SIONGEZI SHIDA DUNIANI'' I DONT WANT KUISHI NIKITEGEMEA WANAUME'' WHY UISHI UKITEGEMEA WANAUME WAKATI ..Wewe una akili zako kama mwanaume,Una mikono kama Mwanaume,Una miguu kama Mwanaume, The only thing we need kati ya Mwanaume na Mwanamke ni MIILI YETU''' NA HIYO NDIYO SABABU MUNGU katuumba tofauti ''ili tuweze kufurahiana na siyo kutegemeana'' Sasa basi When its Come to MAISHA ''USIMTEGEMEE MWENZAKO'' Na wala Usiogepe Kuachika na wala usiogope kushikamana' Ukishikwa Shikamanaa''Mme akija kwako usimkatalie ujio wake ,Msikilize na Hata kama ni Mme wa Mtu kwani yeye Hajui kwamba ni Mme wa Mtu ? ? ILA UWE MAKINI ASIKUTAPELI TU'' Wanawake wenzangu 'kuweni makini hapo ''kuna wanaume matapeli sana ''soon nawaweka LIVE'' Ili muwajue'' Na OLE wako Mwanamke nimsikie Ananilalamikia Nimemchukua Mme wake...Ikifikia hapo ..WHAT TO DO IS..KUTANDIKA MKEKA MWEKUNDU TUMKALISHE HUYO MWANAMME..Iliaweze KUJITAMBUA NA KUTAMBULIWA'' MPO HAPO EE'' SO msijisumbue Mme wako /Mpenzi wako kakuacha'' FANYA KAZI USIMTEGEMEE MWANAMME .MWANAMME SIYO BENK'' Hata BENK HUWEZI KUCHUKUA HELA AU KUWEKA HELA UKIWA HUNA ACCOUNT NA HIYO BENK'' Hasa nyie kina Mama/Dada'' Mnajizembesha mkifikiri Mtawategemea Wanaume'' na hiyo ndiyo sababu kila kukikucha mpo na wasi wasi '' Mme/Mpenzi wako yupo wapi anafanya nini na anaongea na Mwanamke Gani'' ? For What ? Mwanamke kujiamini '' Fanya yako na usimfanya Mwanaume ndiyo your BANK ''Wakati hujui hata BANK kazi yake ni nini''' You Only think BANK kazi yake ni PESA'' Na hivyo kukufanya wewe kutokufanya yako na Akili zako ,Mikono yako na miguu yako.... WANAWAKE WENZANGU '' Amkeni Fanyeni kazi na wacheni WIVU'' HABARI NDIYO HIYO ''Flora Lyimo /Mbuta Nanga''the voice of the truth''

No comments:

Post a Comment