KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 6 May 2014

CONGRATS TO OUR SUKARI YA WANAWAKE DIAMOND 'YOU DID IT SABABU YA WANAWAKE aka WASICHANA CHANA aka' VIJANA''OH BOY ''WE LOVE YOU AND LONDON IPO TIYARII KULEWA NA WEWE ''MBUTA NANGA!! AND YES' WEMA ANAONGEA KIMNYA PLEASE "

Wapendanao kwa wakati wao ''jamani huu ni wakati wa Wema Sepetu Tenaaa'' ok '' Hongera sana Wema umefika kumpa Big support Mpenzi wako Diamond'' For sure we 'All 'tuna Macho na tunaona yote ambayo yameshakwisha tokea kwenye your ndani na nje Mapenzi'' So here is your Time AGAIN and is nice to do anything yani Kila kitu uwezacho when you are with your Love one' na hasa kuutambulishia Ulimwengu you are with Him'' Madaaaammm'' Pia umependeza mno'' lets go and Bring you the rest of matokeo ya hii FAB KILI MUSIC AWARDS 2014 Hasa wale waliochafua '' Mbuta Nanga'' 

Wema Sepetu was onit and say it All'' Ok '' The only thing Bado sijakubaliana nacho ni alichokivaa Diamond'' Not Good kabisa hasa ukifikiria ndiyo aliekuwa tegemeo NUMBER ONE wa kuyabeba maawodi yoteeeee'' But I hope siyo hivi alivyovaa''maana sijaona picha zote za Red carpet and I was not there'' so ikiwa siyo hivi alivyovalia kwenye hii Red Carpet ya hii Kill Music Awards ya 2014 then' tamehe mie Diamond'' and WELL DONE'' HONGERA SANA KWELI IM SO PROUD OF YOU ''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG

No comments:

Post a Comment