KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 12 June 2014

BY FLORA LYIMO ~ HARUSI ILIYO ZIZIMISHA HARUSI ZOTE IN TANZANIA HATA ILE YA MTOTO WA RAIS WA NCHI MH.JAKAYA KIKWETE'' AISEE NI NOMAA'''MBUTA NANGA!!


FAIZA AKIMSUBIRI MUME WAKE KUMPA MKONO....PICHA ZA KUANZIA HAPA KWENDA CHINI''
KWELI KAPENDEZA 'MAMBO NI KAMA HAYA 'SIYO YALE MAKOROKORO YOTE YALIYOJAZWA HOLINI JAMANI '' CHA KUDUM NDICHO HICHI ANACHOKISUBIRIA HAPA''TUMUOMBEE MUNGU NDOA YAKE IDUM MILELE NA SIYO YALE MAKABATI ,MASAHANI NA MAKOROKORO YOTE YA KUANZIA MAISHA YOU NAME THEM''MBUTA NANGA!!
JAMIL AKIMPA MKONO MKEWE FAIZA ,PICHA ZA CHINI KUANZIA HAPA''WHATS A LUCK MAN'' YANI ANABAHATI NA KUPENDA UTAMU WAKE NI KUPENDWA BACK NA KUFANYA KWELI'' I JUST WISH THEM ALL THE BEST ''FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG''
JIKO HILOO''SASA UTULIE KIJANA 'WEWE SIYO KIJANA TENA BALI NI BABA MWENYE NYUMBA '' PATAMUJE HAPO SASA''
BLESS NYIE MY DEARS'' NIMEIPENDA MAANA MPO KAWAIDA HAMJAZIDISHA CHOCHOTE HAPA'' ILA TUNASUBIRIA TUONE MAMISOSI NA WALIODHUBUTU KUJA KUWASHAFULIENI KWA MAVAAZI ''HAHHAAA'' I CANT WAIT ''YOU ALL KNOW WHAT IS FLORA LYIMO FASHION POLICE ''LIKE''
 
KISHA AKAMKISS KWENYE PAJI LA USO, I REALLY LIKE THIS
NEW HAPPY MARRIED COUPLE'WE WISH YOU ALL THE BEST IN YOUR NEW LIFE ''
I JUST LOVE THE DRESS'' MAKE UP NDIYO WAMEKUCHEMSHIA '' ILA NIMEWAACHIA WA MAKE UP WASEME YAO''MIMI WA MAVAAZI '' I LOVE IT''ALSO HIYO CHENI USINGEVAA YA GOLD ''UNGEVAA YA SILVER ''DIAMOND'' 
FAIZA & HER YOUNG BROTHER IRIKAT PICHA YA CHINI''
DECOR.../// MTU NA DADA YAKE'' HOW LOVELY ''
KWENYE MISOSI WENGINE HAWAJAPENDA KABISA ''ONA HUYU DADA WA KULIA IN YELLOW AND BLACK DRESS'' YEYE ACHUNGULIA POCHI YAKE KAMA KUNA HELA AKAJINUNULIE ''MAKIDONADI ''MBUTA NANGA'' 
HAPA MMEONA RANGI YA UKUMBINI EEE' KIJANI NDIYO KIMETAWALA HUM..SASA SUBIRINI NIKAWACHEKI WALE WACHAFUAJI'' MBUTA NANGA''

HAWA NDIYO WAALIKWA KWENYE SHUGHULI HII NDITO NA THE TALK OF MUJINI''SASA HUYO DADA WA RASTA AMEVAA NINI ? MBUTA NANGA'' KADHUBUTU KUJA KUISHAFUA HASWAA'' NA CHAKUSHANGAZA SIJAWAONA WALIOVAA GREEN '' YANI HOLI LIMEHARIBIKA HASWAAA''' HALINA MAVAA YAPASAVYO KWENYE HII HARUSI ILIYOZIZIMISHA ARUSI ZOTE IN BONGO'''

WAONE WACHAFUAJI ''HATA WENYEWE WANAONA AIBU''

MAMA MZAA CHEMA NAE SIJUI ALISAHAU KUVAA MAVAAZI YAKE YA HARUSI HII YA THE TALK OF MUJINI YA MWANAE ? SIJAELEWA '''NGOJA NIKATAFUTE PICHA ZINGINE LABDA HII ILIKUWA JIONI BAADA YA HARUSI KUMALIZIKA''MBUTA NANGA''

JAMANI WHERE IS YOUR GREEN MY PEOPLE ''HALIMA NA MWENZAKO'' TIZAMENI HUYO DADA HUKO NYUMA YENU'' DRESS CODE MUHIM SANA'' HASA UNAPOKUTA UKUMBI UMETAWALIWA NA RANGI FULANI'' AISEE KWENYE ARUSI YOYOTE ULIZENI RANGI YA UKUMBI ''NDIYO HATA KAMA HAKUNA DRESS CODE USIENDE KUCHAFUA'' UTAFUTE KITU CHENYE MCHANGANYIKO KIDOGO NA RANGI YA HUO UKUMBI''

MAMA NA MWANA ''HIVI HIZI BLUU MLIVAA ZA NINI NA WAKATI HAKUNA CHA BLUE KABISA HUKU UKUMBINI ? NA HASA NYIE NDIYO MLIKUWA MAMBO YOTE MNGELIJUA ZAIDI'' NINI VAAZI LA KUVAA KUEPUKA KUICHAFUA SHUGHULI HII NDITO '' WACHA NIISHIE HAPA MIE''
MAMA NA MWANA
MBUTA NANGA'' NIMEISHIWA MANENO ''NYOTA ZANGU SEMENI NYIE''
HATA PENNY WA DIAMOND NAE ALIKUWEPO AND YES ,NI MIONGONI MWA WALIOCHAFUA''
WAONE HAPA WALIVYOJIPANGA''UTADHANI WAMEVAA DRESS CODE '' HARUSI HUNOGA MKIVAA KUENDANA NA DRESS CODE YA UKUMBI '' LA SIVYO MTAKUWA WACHAFUAJI VILE VILE'' ANYWAY '' HONGERENI KWA KUFIKA KUSHUHUDIA NDOA HII NDITO NA KULA MISOSI'' MWENYE KUPATA JIKO KAPATA'' SASA NI KUWAOMBEA MUNGU NDOA YAO IDUM NA WENGINE KUIGA NIYASEMAYO KWENYE SHUGHULI ZA WATU ''FLORA LYIMO FASHION POLICE 'ANASEMA HIVI'' UKIALIKWA SHUGHULINI HASA MAHARUSINI ''FUATILIA THE DRESS CODE YA UKUMBINI THEN TAFUTA GAUNI LAKO LENYE RANGI ZAKE''HATA KAMA NI KHAGGA WEWE UTAFUNIKAA'' MBUTA NANGA'' THE UKWELI UNAUMIZA LAKINI UNAPONESHA NA KUKINGA'' HAPA WAS GREEN GREEN MAVAAZI  ILIKUWA INATAKIKANA ''NA MNGENOGAJE''

MASHUGULIBLOG MWENYEWE '' IN YELLOW'' KIKAZI ZAIDI'' THANKS KWA MAPICHA MOTO MOTO MY SUPER PHOTOGRAPHER MWENZA'' WACHA BLOGU ZIENDELEE''SAFI SANA''
FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'' JAMANI MUDA UMEKWISHA NATAKIWA KUFANYA KAZI '' MNAWEZA KUITEMBELEA HIYO BLOG HAPO '' NA KUJIONEA KILA KITU MAPICHA NI HATARIIII''NENDE KWAKE MKA ENJOY '' HAVE A FAB DAY NYOTA ZANGU WOTE''

1 comment:

  1. Dada Flora tunasikia ni ya wauza unga hiyo, ingia Mange Kimambi.

    ReplyDelete