MWAYAONA MAMBO YA HARUSI YETE YA KIHINDI HINDI DRESS CODE EEE'' MAHARUSI WETU WAMEPENDEZAJE SASA'' COGRATS MY DEARS'' BE BLESS ALWAYS NA NDOA YENU''
MMEONA MOJA YA RANGI ZILIZOTAKIKANA KWENYE HII HARUSI EE'' FAB AISHA kushoto NA MAHARUSI 'Nyuma ni hizo rangi za Ukumbi huu''unaweza kuzichungulia'' ujionee wenyewe''MBUTA NANGA!!
MAVAAZI YALITAKIWA YA KIHINDI HINDI AU MAZITO MAZITO KAMA HIVI '' LOOKING FAB MY DEARS''
SASA HAPA SEMENI NYIE NYOTA ZANGU ZA FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG'
MMEPENDEZA NA MAGAUNI YENU ..BUT WRONG PLACE MY DEARS ''WAS NOT FOR HII HARUSI DRESS CODE YA KIHINDI HINDII'' MLIALIKWA KWENYE HARUSI HII KWELI AU MLIKOSEA NJIA ''MAANA MASHUGHULI HII SIKU YALIKUWA MENGI SANA'' MPAKA UNAALIKWA UNASHINDWA UENDE WAPI UACHE WAPI'' MBUTA NANGA!!
MMEPENDEZA NA MAGAUNI YENU ..BUT WRONG PLACE MY DEARS ''WAS NOT FOR HII HARUSI DRESS CODE YA KIHINDI HINDII'' MLIALIKWA KWENYE HARUSI HII KWELI AU MLIKOSEA NJIA ''MAANA MASHUGHULI HII SIKU YALIKUWA MENGI SANA'' MPAKA UNAALIKWA UNASHINDWA UENDE WAPI UACHE WAPI'' NA KIUKWELI JESTINA NIMEPENDA YOUR HAIR '' NA SIJASEMA WATU HAMJAPENDEZA MLIOVAA KIVINGINE''ILA NDIYO HIVYO 'NADHANI HATA SHOW TIME MLIONA MAMBO KIHINDI HINDI ZAIDI'' MBUTA NANGA!!
YOUR TOP IN TOWN ''FLORA LYIMO FASHION POLICE ''HIVI NDIVYO ALIVYOVAA ON HER BIRTHDAY PARTY MWAKA HUU 2014 '' KIHINDI HINDI ZAIDI'' NA HIVI NDIVYO WENGI WENU MLIOHUDHURIA ARUSI HII MNGETAKIWA KUVAA'' HASA THE RANGI YA KWENYE UKUMBI '' ANYWAY ''NINAWAONYESHENI ILI MUIGE NEXT TIME MSICHAFUE '' MAANA SITOCHOKA KUWATANDIKE HUM KAMA MKEKA WA KUANIKIA ULEZI'' MBUTA NANGA''
HIZI PICHA NI ZA SIM ,ZA CAMERA ZINAKUJA SOON 'PIA UNAWEZA TO FOLLOW FLORA LYIMO IN ISTAGRAM FOR THE VIDEO YA HARUSI HII''
flora-lyimo-mbuta-nanga
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
JAMANI SITOACHIA COMMENT'S ZENU ZA MATUSI '' Ikiwa huwezi kuacha comments kueendana na topic hii'' wewe pita kimnya kimnya'' MPO HAPO!!
ReplyDeleteHAHAHHAHAAA''Narudia tena jamani matusi yenu huko huko ..kichakula kwenu '' mliakwa au hamjaalikwa ikiwa hamkuvaa ipasavyo piteni kimnya kubalini matokeo ..HARUSI WAS KIHINDI HINDI NA KIARABU ARABU'' MPO HAPO.....HAHHAHAHAA'' ETI MIE MEUSI KWANI NILIKUAMBIENI MIE MEUPE....NYOOOOO'' MTAHAMA DUNIA MWAKA HUU'' MAANA SITOCHOKA KUWARUSHENI HUM MKICHAFUA NI MIMI NANYIE''' HAHHAA''NACHEKAJE MAKOMENTI YENU YA HASIRA MNAFIKIRI HAPA MTAZIONA ..UWIII'' NA WEWE MWENYE HASIRA NA JG'' KAMTAFUTE UMTUKANE ''AU BLOG YAKE HUIFAHAM? MBUTA NANGA''
ReplyDelete