KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 23 June 2014

WHATS ON ? FLORA LYIMO SAY ~SIYO KILA KITU NACHOFANYA NAPEPERUSHA MITANDAONI JAMANI''SO MKIONA SIJARUSHA MITANDAONI MSIFIKIRI SIFANYI ''I DO AND I DO WHAT I LIKE &LOVE'' SEE IT FOR YOURSELF'''

 NNJE YA KANISALA LANGU LA KIKATOLIKI MTAA WANGU NAOISHI HAPA ULAYA'' YANI I MISS MY KANISA LANGU LA UTOTONI KILEMA KILIMANJARO 'HILO KANISA LILIKUWA NI LA KWANZA KUJENGWA NA WAJERUMANI IN TANZANIA NA SIJUI NI KWANINI WAJERUMANI WALICHAGUA KILEMA MOSHI KILIMANJARO KULIJENGA KANISA LAO LA KIKATOLIKI MIAKA ILE YA UKOLONI '' YANI I THINK HIYO NDIYO SABABU WACHAGGA TUKABARIKIWA KUWA MA MAHELA''YANI TUNAYATAFUTA NA HATUYAKOSI ''UKIONA MCHAGGA ANATAFUTA HELA NA KUZIKOSA WEWE MPE MIAKA ATAZIPATA TU''IN JESUS NAME'' aka RUWA MANGI '' YANI WE ARE BLESSED MOSHI KILIMANJARO PEOPLE MPO''' TANZANIAN MOJA!!





 TUINGIE NYUMBA YA BWANA TUMTOLEE,TUMTOLEE SADAKA SAFI ''






 I LOVE MAUWA JAMANI 'YANI JUST LIKE JINA LANGU FLORA LINAVYO IMANISHA MAUWA''
 AMANI MUHIM SANA'' TUPENDANE NA KUSHIRIKIANA HATA KWA PICHA KWA YOTE TUNAYOFANYA IN OUR LIFE''
 MY SUNDAY 22/6/2014 FLOWERS '' HUU NI MSIM WAKE HAPA ULAYA IS SUMMER TIME

 HAPA NI WAZEE WANAISHI HAPA TU MAANA HAWAWEZI KUISHI MJUMBA YA NGAZI NA HIZI NYUMBA ZIPO PEMBENI MWA KANISA LANGU NAPOSALIA HAPA LONDON ''YANI FROM MY HOUSE NATEMBEA TU'' KAMA VILE KWENDA KANISA LA KILEMA KILIMANJARO ''ENZI ZA UTOTO WANGU MPAKA MIAKA 15 NILIPO INGIA MJINI ARUSHA THEN NAIROBI THEN MOMBASA THEN DAR,THEN LONDON '' NILIKUWA NASALI KILA JUMAPILI ''YANI NI LAZIMA UENDE KANISANI''
FLORA LYIMO FANYA FASTA AU NAKUACHA ''UWIII JAMANI NAVYOPENDA PICHA MIE 'WEWE NIACHE TUU''NITATEMBEA NINA MIGUU YANGU NILIYOPEWA BURE NA MWENYEZI MUNGU ''MBUTA NANGA!
HAHAHAHAA'' UWIII '' MWAONA FLORA LYIMO ANAVYOPENDA PICHA EEEE'' YEYE YUPO TIYARI KUACHWA LAKINI AHAKIKISHE AMEPIGA PICHA ZAKE''
 JAMANI HII NI KWA WALE MLIODAI KUMBE ETI HUWA NAENDAGA KANISANI ?KWA MSHANGAO''YES '
''Yes'' huwa naenda Kanisani na pia huwa nafanya Mambo mengi sana 'Yani siyo kila kitu nachofanya kwenye maisha yangu nakianika hum mitandaoni Dunia kuona''LA'' Yani Mimi sana sana huanika hum Mitandaoni what I like and Love you and Dunia kwa ujumla to seee'' LA'' sivyo hamtaona'' na kwasababu hiyo basi siyo kwamba I DONT DO ''I DO ''I DO WHAT I LIKE AND WHAT I LOVE''
Stay Bless my dears'' Ishi maisha yako upendavyo ALWAYS''
FLORA LYIMO FASHION POLICE '
Follow me in Istagram:flora-lyimo-mbuta-nanga

No comments:

Post a Comment