KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 27 July 2014

WHATS ON ? ANGALIA PICHA ZA RAIS WETU MHESHIMIWA KIKWETE NA MHESHIMIWA WAZIRI MKUU PINDA WALIPO FUTURISHWA NA MAKAMU WA WA RAIS DKT BILALI '

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)akiweka sawa  kanzu ya Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda kabla ya kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akiongozana na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali (kulia) na Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kushoto) wengine ni Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe Mohamed Chande Othman wakiwasili kushiriki katika futari waliyoandaliwa na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali katika makazi yake Oysterbay jijini Dar es salaam Ijumaa jioni Julai 25, 2014.'ambayo ni Ijumaa ya Mwisho ya Mwizi huu Mtukufu wa Ramadhani'
'' PICHA NA IKULU''
''Flora Lyimo Fashion Police Blog''

No comments:

Post a Comment