KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 12 August 2014

WHATS ON ? HEBU ONA WEMA ALIVYOJIMWAGA STEJINI NA DIAMOND PLATNUMZ WAKE JUZI KWENYE SERENGETI FIESTA 2014 IN MWANZA'MCHAFU CHAFU UTADHANI SIYO WEMA SEPETU VILE'' WHY WEMA UMEANZA KUJISHUSHA HIVI JAMANI ''? MBUTA NANGA!!

HEBU WAONE HAPA WALIVYO WACHAFU '' YANI HIVI NDIVYO WALIVYOKUWA WAMESHINDA MCHANA NA BAADAE KUJIRUSHA STEJINI ''YANI BILA HATA AIBU JAMANI NILIKUWA NADHANI WEMA NI MDADA MSAFI AMBAE AKIAMBIWA AINGIE STEJINI NA DIAMOND PATAKUWA HAPATOSHI NA ATAKUWA KAJIPANGA HASWA KIMAVAAZI ''JAMANI MBONA KUJITIA AIBU NA KUJISHUSHA HIVI''? YANI
Sijui ni kwasababu ya Rafiki alie nae au ni kwasababu ya hasira za Diamond kuamua na kuelezea Dunia kwamba hatakaa oowe? Yani Wema kabadilika GAFLA KAWA KAMA WALE WADADA WAZURURAJI WA KANDO KANDO YA MABAHARI KUSAKA WAZUNGU'' MBUTA NANGA'' Wema siyo kwamba namchukia nampenda sana na huwa natamani sana siku nimuone kwa macho yangu ,hapa ni kukuambia ukweli Mdogo wangu'' Wachana na mambo ya kujishusha wakati wewe Mwenyewe una uwezo wa kufanya yako kama Wema Sepetu '' On top of Diamond ni powa pia kuwa nae japo kupoteza wakati kwa mipango yenu ambayo mwaijua wenyewe''Ila kwa Mipango yetu sisi wengine 'tunakuona Wema unajishusha sana,jione hapa wewe mwenyewe ulivyo vaa''' Yani kama Dem na Mwanamke Mtarajiwa wanavyokuita wakupendao kuliko wajipendao wenyewe unaweza kuvaa hivi ? na Huoni wanawake wadada nikikuwepo Mie Flora Lyimo mmoja wao tunavyojipanga kwenda kumuona Our King Diamond''yani we are his big fan asiwadanganye mtu ..msione nikimwambia ukweli wake mkadhani simpendi nampenda sana kinyimbo zake na anavyotuwakilisha sisi Watanzania'' but wewe kama Girlfriend yake sipati picha unawezaje kujitokeza kwenye show yake ukiwa Mchafu namna hii'' yani Angekuwa ni Mimi nashona na sare kabisa..mbona kwenye mitoko yenu mnavaa sare na hapa juu stejini na the King big super star kama Diamond hamjavaa mkavaa kichafu chafu tena minguo mliyo ishindia all day ''? YANI WEMA ANZA KUWA KAMA YULE WEMA ULIEKUWA HAPA ZAMANI ''SASA UMEJISHUSHA VIBAYA SANA'' NI HAYO TU KWA SASA'' NA IKIWA UNAHITAJI WIGIS POWA KWA BEI POWA WHATSAPP +44 7787471024 TENA NITAKUPA BURE ILI UTANGAZE MY BIASHARA SI NDIO EE'' UPENDEZE NA WIG  LAKO KUTOKA KWA FLORA LYIMO KAMA WASTARA JUMA''' MLIMUONA ALIVYOKUWA KWENYE SHOW YA DIAMOND''  WIG WAS BY FLORA LYIMO TENA BUREEE'' MBUTA NANGA!!
Staa wa  muziki wa bongo fleva, Naseeb Abdul 'Diamond Platinum' akilitawala jukwaa pamoja na baadhi ya wacheza shoo wake katika onyesho la kwanza la tamasha la Serengeti fiesta katika Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza lililofanyika mwishoni mwa wiki,tamasha hilo litaendelea kwenye miji mingine ya Bukoba na Kahama mwishoni mwa wiki..Baada ya kazi ya kuwaburudisha mashabiki wake,Mara Wema Sepetu a.k.a shemeji nae akajiunga kumpa sapoti mpenzi wake jukwaani Sasa hebu ona WEMA HILO LIWIG JAMANI '' YANI NIKAMA KALIOKOTA SIJUI KICHAKA GANI KICHAFU VILE'' MBUTA NANGA''
 HII NI KUTOKA KWA MDAU >Nampenda sana Wema lakini tatizo langu kwake ni kwamba yani akiwa na huyu Daimond anakuwa ni kama “gumegume” yani anakuwaje sijui.Yani ile classy inatoka na kuwa trashy.Yani me pamoja watu husema Wema Malaya lakini bora hata alivyokuwa na yule kigogo wake Wema alikuwa classy lakini sasa hivi kawa haeleweki kabisa.She is always preaching about being a star and living like one lakini huku kukatika stejini naona ndio ustaa mpya kwa Wema.Yani Wema akiwa na Daimond sijui anakuwaje yani kama msukule,jamani mapenzi gani haya mabinti mliokuwa nayo?!thamani yenu inaisha bila kijuielewa.Maisha yenyewe na mbwembwe zote sasa zimeisha.Enzi za Wema kila mtu alikuwa anamjua Wema akiingia mahala Wema anastua watu,lakini siku hizi mara sijui kwenye magodoro mara sijui manini basi shida tupu.To make the matter worse hayo Daimond na Romy sijui wote wanaishi kwa Wema hahaha yani hii ni shida.Daimond kama ni mwanaume kweli na unampenda mrembo si umnunulie nyumba na wewe ili muishi wote ila sio kwa jasho la mwanaume mwenzako.Wema tunakuhesabia siku utakuwa wa kawaida sasa hivi.Yani for some reason Wema akiwa na Daimond yani me sielewi kabisa,iga wenzako waliokuwa maarufu mjinikama Amina Chifpa R.I.P na hawakusettle for less mpaka wanakufa bado maarufu na majina yao hayatasahaulika .Anyways wacha picha eiendelee.
 YOUR TOP IN TOWN NA THE KING DIAMOND LIVE ON STAGE'' HUKU NIKIWA KIKAZI ZAIDI'' AISEE HIVI NINGEKUWA SIPO KIKAZI NA DIAMOND NDIYO MY BOYFRIEND SIJUI KAMA PANDETOSHA HAPA NDANI ''MAANA NINGE MWAGA NYOTAAAAA ZOTEEEE''MBUTA NANGA'''

 CHEZEA MOTO WA MCHAGGA ULAYA'' YANI NI NOMAAAA'' NAMPENDAJE DIAMOND SASA NYIMBO ZAKE '' HATAREEEE'''
 KIM WA TANZANIA NAE aka WEMA WA LONDON ''SASA MWAONA MAMBO YA WASAFI EEE'' SASA WEMA ONA HAPA ''HIVI NDIYO UNGETAKIWA UVAE HATA NA ZAIDI NA HIII LOOK UNAWEZA KUINUNUA SIYO GALI KABISA'' NI KUJIPANGA NA KUWA MSAFI TU''
 HAYA MAKOFI KWA WEMA WA LONDON aka KIM WA LONDON ''MBUTA NANGA''
 HAPO SASA'' MAMIMANOTI JUUU'' ANAPENDWAJE DIAMOND'' SASA''ALAFU NIMESIKIA MTU AKISEMA ETI WEMA AWE DANCER WA DIAMOND SASA''UWII''DIAMOND HAWEZI MRUHUSU MAANA ZILE FOLENI ZA MADEM AFTER SHOW MAHOTELINI ZITAPUNGUA NA I DON'T EVEN THINK KAMA WEMA ANA CLEAN PASSPORT '' YA MAJUU''MAANA NILISIKIA HAWEZI KUPEWA NDIYO MAANA HAKUENDA NAE US NA WALA UK HAKUJA NAE'' SASA CHA KUFANYA I THINK DIAMNOD ATUMIE NJIA HII YAKUMCHUKUA WEMA KAMA DANCER WAKE ILI AWEZE KUPEWA VISA '' I THINK THAT WILL BE POWA ILI NA WEMA AWEZE KUSAFIRI NAE HATA SIKU MOJA MOJA''

 NIKIMWAGA NYOTAAAAAAAAAAAAAAA''MBUTA NANGA'' I LOVE MY DANCING'''

 I LOVE YOU DIAMOND MTU NA DADA YAKE''LAZIMA APEWE ASANTE ETI EEE'' FLORA LYIMO THE TOP IN TOWN MWINGINE NI HAKUNAAAAAAAAA'''

YANI WEMA MY DEAR ''NITAFUTE NIKUTUMIE WIGS ZA KISURE ''HILI WIGI SIJUI KAKUDANGANYA NANI ULIVAE KWENYE SIKU HII MUHIM KWA MBEBI WAKO''

FLORA LYIMO DESIGNS&TRADES WIGS ''JUST FOR YOU WEMA SEPETU''


JUST FOR YOU WEMA SEPETU '' YANI FLORA LYIMO WANT KUKUPA FOR BURE KABISA''
HAPO KWAKEEEEEE'WASAFIIIIIIIIIIIII'''




HABARI NDIYO HIII'' NIPENDENI NICHUKIENI ''CHAKUFANYA MNICHUKIAO KAMEZENI KITU KINAITWA POISON'''
NYIE SEMENI YENU NYOTA ZANGU ''WHAT YOU THINK OF WEMA ON STAGE WITH DIAMOND AND WHAT SHE WAS WEARING ? MBONA MAJANGAA''MBUTA NANGA''
Follow me Ingstagram:floralyimofashionpoliceblog

No comments:

Post a Comment