President Jakaya Kikwete of Tanzania with the First Lady Mama Salma Kikwete.Yani walipendeza sana na vaazi lao la kumechisha ' I do like when Mme na Mke wanapo hudhurua shughuli za pamoja wakivaa mavaazi ya kumechisha yani hata tai inatosha''
President Paul Kagame of Rwanda with his daughter' I love it '' huo ndio utamu wakuwa na Baba mwenye kuwajali watoto wake na hasa kujivunia Watoto wao wakike pia''
President Pierre Nkurunziza of Burundi with the First Lady'
President Uhuru Kenyatta of Kenya ''Yeye sijui kawacha wake mwenza wake'' mbuta nanga''
President Yoweri Kaguta Museveni of Uganda ''Na huyu pia nae Mwenza wake yupo wapi jamani ''
Anyway Watu wamefika kikazi zaidi ''so naomba mrudi kwenye nchi zenu salama na mambo mazuri kutoka kwa Obama Rais wa Dunia''
ASANTE SANA KWA PICHA
No comments:
Post a Comment