Mohamed Matope akipokelewa kwa kiss na mke wake miss Temeke baada ya kumkabidhi mkewe Range Rover sports ikiwa ni zawadi yake ya kutimiza miaka 13 ya ndoa yao,Yani si mchezo ni Kitu cha kuiga nawe uwe unamdawadia mwenzi wako chochote uwezacho siyo lazima gari kama hili '' but ROMANTIC NI MUHIM SANA KWA WAPENDANAO''
Wapendanao kwa raha zao '' Be Blessed Always my dears''
HONGERENI SANA MUNGU AZIDI KUIBARIKI NDO YENU IDUM MILELE NA KILA MWAKA MUWEZE KUPEANA MIJITAWADI YA NGUVU KAMA HII'' AMEN'' RUWA MANGI'' MR & MRS Matope''
Ila sijawahi kukuuliza my super Designer Mwenza '' Hivi hilo jina la mmeo la MATOPE ni jina la ukweli ? MBUTA NANGA'' Siyo siri hum Mitandaoni najifunza mengi sana hasa majina ya watu ''siunajua wengi hatujuani tunakutana hum mitandaoni na tunapendana kweli kweli '' basi mimi sikujua MATOPE IS A NAME'' YANI MTU ANAITWA MATOPE? OK '' NGAKUWESA TUPU NDAO'' Nimekuliza tu jamani ''
HAPPY ROMANTIC MONTH MY DEARS''
FLORA LYIMO /MBUTA NANGA BLOG
No comments:
Post a Comment