KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 12 April 2015

WHATS NOW ? FLORA LYIMO FASHION POLICE OF 12.4.2015 ' KWENYE ARUSI YETU YA JANA AMBAYO ILIKUWA NDIYO THE TALK OF MUJINI '' BIBI ARUSI KAVAAJE KICHAFU CHAFU KAMA BIBI WA UBUNGO ON XMAS DAY ? MBUTA NANGA!


Introducing Mr and Mrs Murray: The first pictures of Andy Murray and new wife Kim, who looked beautiful in her embroidered bridal gown
Introducing Mr and Mrs Murray: The first pictures of Andy Murray and new wife Kim, who looked beautiful in her embroidered bridal gown'

It has been dubbed the Scottish wedding of the year and there was little doubt about the delight felt by the crowd gathered outside Dunblane Cathedral for the union of Kim Sears and Andy Murray this afternoon as a huge cheer went up when the happy couple emerged as man and wife.
The new Mr and Mrs Murray, who announced their engagement in November last year, tied the knot in the 12th century cathedral before a relatively small group of their family members and close friends.
At 5:43pm, bells rung out and the wedding guests showered the newlyweds with confetti as they left the 45-minute ceremony in the cathedral in the tennis star's hometown. 


Wave: The couple waved to the cheering crowds, who had braved the wind and rain to get a glimpse of the new Mr and Mrs Murray
Wave: The couple waved to the cheering crowds, who had braved the wind and rain to get a glimpse of the new Mr and Mrs Murray'' 
Inspiration?: Kim's half-up, half-down hair style was reminiscent of Kate Middleton's hair style of choice four years ago
Inspiration?: Kim's half-up, half-down hair style was reminiscent of Kate Middleton's hair style of choice four years ago''
Alafu kawaje mkavu usoni jamani ''yani maloshoni yakung'arisha uso on your big day yapo yamejaa tele tena ambayo anaweza kununua hata chupa kumi ajipake zote ''
YAMEMSHINDA''? MBUTA NANGA'' AMA KWELI KUOLEWA NA TAJIRI SIYO KUWA NA AKILI ZA KITAJIRI '' NGACHOKA''
High profile: The presence of a team of press photographers meant there was no getting away from the celebrity feel of the wedding
High profile: The presence of a team of press photographers meant there was no getting away from the celebrity feel of the wedding''here were plenty of hats on show - and a lot of guests grabbing their own pictures with their mobile phones''
Scotland: Dunblane, where the couple held their ceremony, is a small town in the north of Stirling dating back to the sixth century
Scotland: Dunblane, where the couple held their ceremony, is a small town in the north of Stirling dating back to the sixth century''

MUME KAPENDEZA SANA NA KIMILA CHAKE'' YANI VAAZI KALIPATIA NA NIJAMBO LA BUSARA NA LAKUHESHIM SANA MWANAUME ANAPOFUATA TAMADUNI ZAKE NA MILA ZAKE'' HAPO HATA BARAKA HUMIMINIKA NDOANI''
Si Mtu kwasababu umekaa mujini unasahau hata mila na desturi za ukoo wenu '' jamani tuzingatie tuliko toka'' mfano wa huyu mcheza tenesi maarau Duniani ana mamilioni ya pesa'' lakini Arusi yake kaifanyi Kwao aliko kulia na anakotambulika kama MWANAUME'' MPO HAPO EEE'' MWANAUME YOYOTE MWENYE KUSAHAU KWAO HASA ANAPO OWA YEYE NI MUJINI MUJINI TUU'' MCHUNGE SANA HUYO NI HATAREE'' 

The new in-laws: Judy Murray walks along with Kim's parents Nigel and Leonore after the ceremony
The new in-laws: Judy Murray walks along with Kim's parents Nigel and Leonore after the ceremony''
MWAMUONA MAMA KIJANA'' BWANA ARUSI ? NDIYO HUYO WA KWANZA KUSHOTO '' LOOKING FABULOUS '
WANAO MFAHAM HUYO BABA WA KATIKATI ''WATAJUA WENYEWE TUNASUBIRIA COMMENTS ZAO'' MBUTA NANGA'' I DONT WANT TO SEE HER '' SASA UMEKUJA KUFANYA NINI ARUSINI ? ONLY A JOKE''' MBUTA NANGA!!

everal Zzzz icons for sleep.  
Looking beautiful in an embroidered white gown, Kim Sears arrives at Dunblane Cathedral in the forecast rain... and gets a helping hand from a smiling support party who keep her dress from touching the ground
KIATU MNAKIONA EEE'' KAMA CHA BIBI WA UBUNGO ON XMAS DAY ''ALAFU HICHO SIYO CHA PESA MBILI NI CHA LAKI KADHAA'' ILA KUCHAGUA NDIO SIFURIIII'''
Kim Sears gets help from her bridesmaids, dressed all in pink, as she enters the church
Nothing you can do about the weather! Looking beautiful in an embroidered white gown, bride-in-waiting Kim Sears arrived at Dunblane Cathedral in the forecast rain this afternoon... and got a helping hand from a smiling support party who kept her dress from touching the ground. On her feet were a pair of strappy silver heels, thought to be by Jimmy Choo

HAHHAHAA WACHA NICHEKE MIE'' KWANI NI RUKSA NA KUCHEKA NI BUREEE'' SASA HAPA UPEPO UKAAMUA KULIMVUA GAUNI HILI CHAFU CHAFU LOOK ''NA KUTAKA KUMVALISHA THE BEST ONE SHE MISS OUT '' HAHAHHAA'' JAMANI UPEPO MBAYA KULIKO HATA KINA SIE FASHION POLICE TUNAO WAAMBIENI MAUKWELI YENU '' MBUTA NANGA' 

TUMECHOTA NA KUMIMINA KUTOKA DM 'ILI MJIONEE'' 
FLORA LYIMO FASHION POLICE ''ALWAYS TELL YOU THE TRUTH '' KUBALI KATAA ''LAZIMA UTAPEWA UKWELI WAKO TU'' IN MY VOICE OF MBUTA NANGA' NGACHOKA''

No comments:

Post a Comment