Hawa ndio maharusi wetu wapya na habari ya mujini AKA UZEE MBINGUNI KUDADADEKI si wengine bali ni ''KAKA YETU MKUBWA MENGI '' Now ni kama hiviii''Mr and Mrs Mengi '' CHAMECHA MENGI MBEE''
Dr Mengi akila kiapo cha ndoa kumpenda mkewe milele na kwa shida na raha
Mr and Mrs Mengi wakikata keki yao ya Harusi
Watoto mapacha wa Dr Mengi Na K-Lynn waliungana na wazazi wao kushuhudia baba na mama wakibadilishana viapo vya ndoa
Mr and Mrs Mengi wakiwa na nyuso za furaha pamoja na watu wao wa karibu
Bi na bwana harusi wakiwa kwenye picha ya pamoja na wana familia wa pande zote mbili
Picha zote kwa hisani kubwa ya Bongo5.com
YANI WAMENOGEANA HATAREEEE''' SASA NI MWENDO WAKUTAFUTA KIZEE CHAKO WACHENI WIVU BWANA'' YANI MNAUMWA KWELI 'ETI MZEE MZEE'' NYOKOOO'' KARIBU SANA MPORA WETU ''
No comments:
Post a Comment