MREMBO: MBUNGE KANIBAKA
Sifael Paul na Erick Evarist
BINTI mrembo aitwaye Flora Bahati Lyimo anamtuhumu mbunge mmoja ‘mtata’ wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaloongozwa na Spika Anne Makinda (jina tunalo) kuwa amembaka, Uwazi lina kisa cha aibu ya karne.

Akiendelea kuweka wazi kisa hicho, Flora anasema: “Nikiwa kwenye mkutano….(jina la mbunge) alinifuata akaniuliza nimeandika watu wangapi waliohudhuria mkutano huo, nikamjibu 50 akaniambia niongeze idadi hiyo ili ionekane mkutano ulikuwa na watu (Watanzania waishio Uingereza) wengi.
“Hapo ndipo alipoanza kunizoea. Alitaka kunipa kadi ya chama chake nikakataa, ndipo akadai kwamba mimi nilitumwa kwenye mkutano huo na balozi na rais kwa ajili ya ushushushu.
KISA KUJISAIDIA HAJA NDOGO
“Mkutano ulimalizika, sasa nilipokuwa naondoka kurudi nyumbani kwangu, mbunge huyo na wenzake nao walitoka. Tukiwa njiani wenzake walikwenda kujisaidia haja ndogo, yeye akaniomba akajisaide nyumbani kwangu, nilimkubalia. Alipofika ndani, bila kujua kila kitu kinaonekana kwenye kamera alinibadilikia kama vile adui vitani, ona sasa wema wangu ukawa umeniponza.
HADI KITANDANI
Alinirukia, akaniburuza hadi kitandani kwangu. Nilipokuwa mkali na kwa namna nilivyokuwa nimechanganyikiwa sishikiki ndipo akanivamia maungoni, akanichania nguo zangu akitaka nimwachie atimize lengo lake la kuniingilia kimwili kwa nguvu.
“Nilijitahidi ili asifanikiwe, nikamwambia amekwisha kwani lazima nimwanike ndipo akanipiga nusu aniue akisisitiza kuwa kama nitauanika uovu wake huo au kuchukua hatua zozote ataniua.
“Inaniuma sana, kunibaka anibake halafu atishie kuniua, unyama gani huu?”
AITA POLISI
Flora anaendelea kusema:
“Katika purukushani hiyo, nilipopata mwanya kidogo tu, nikapiga namba ya polisi 999 kuomba msaada. Alipoona hivyo alitoka na kutokomea kusikojulikana. Polisi walipofika hawakufanikiwa kumkamata.”
NDUGU ZANGU WATANZANIA WENZANGU 'IKIWA LEO NI TAREHE 29/6/2015 NIME REVIEW POSTI HII'' KWA KUENDANA NA MALALAMIKO YA NDUGU YETU FAIZA ALIVYO LALAMIKA KUPOKONYWA MTOTO WAKE NA MBUNGE TENA MBUNGE (CHADEMA)' KWANZA POLE SANA FAIZA'' MUNGU YUPO NA HATA MIMI NIPO NA WEWE MPAKA MWISHO NA IWE MWISHO SASA WA SISI WANAWAKE KUNYANYASWA NA HADI KUBAKWA KWA HAWA VIONGOZI WETU WANAOTUMIA NGUVU ZAO KWA SABABU YA CHEO WALICHONACHO NCHINI''
Sasa Basi ' Naomba kuwauliza ,Ikiwa Faiza kapokonywa mtoto wake kwa sababu alivaa nguo yake ambayo nyie baadhi yenu na vile vile Baba Mtoto wake kaona siyo ya kimaadili na hivyo basi adhabu yake ni KUMPOKONYA MTOTO WAKE'' Naomba mniambie je ni kwanini Watalii (WAZUNGU ) Wanaruhusiwa kukaa Uchi au niseme na vijichupi vyao wakiota jua na watoto wao na wasipokonywe na vile vile Mahakama ya Tanzania kutoa sheria WASIWE WANAVAA VIJICHUPI NCHINI TANZANIA ? NA HASA WAKIWA NA WATOTO WAO ? Hilo sioni mkilichukulia kimaadili na kuwatukana wazungu hao na hizo broken English mnazozitumia kutukana (Sisi ) WATANZANIA WENZENU ''KISA NI NGUO FUPI NA KUDAI WATU WAPO UCHI HADI KUPOKONYWA WATOTO''
Pili Flora Lyimo (Mimi ) Hapa huwa naposti picha zangu na Chupi nazoziuza mitandaoni au hata picha zangu mimi za Kushikilia Maziwa (matiti) na siyo kwamba hata ni za uchi yani hata siyo za uchi kabisa lakini Mlinitukana matusi yote na kudai kwamba ilikuwa ni vyema kabisa kwa Mbunge yule kunibaka kwa sababu nilikuwa Uchi au sijui huwa ninapigaga picha za uchi na matusi mengi mno ambayo yote uki ya googo utayapata '' Hivi kuna sheria inayosema Mtukikosea ABAKWE? Na ikiwa huyu Godbless Lema anadai nilitumwa na Watu wa Chadema kwenda kwenye Mkutano wake ,kwa hiyo nyie mnaona ADHABU YAKE NI ANIBAKE SIYO ? Jamani kuweni BINADAM NA MSIWE WANYAMA'' Mimi sitochoka kupigania haki itendeke hadi nife na nirudi tena hapa Duniani bado nitakuwa nadai haki yangu ''all I want is Justice''
Lingine ni Mheshimiwa Spika Anne Makinda..Hivi ni kwanini yeye hajamuita Mbunge Godbless Lema Bungeni nae Ajielezee 'kuhusu yeye kusema Flora Lyimo alitumwa na watu wa CCM ? Mbona hii ya Faiza Wabunge wameliongelea Bungeni ? Jamani ni hayo tu ''Mimi nalia kwa Uchungu 'NAUMWA MNO '' NYIE ENDELEENI KUNITUKANA NA KUTUTUKANA ILA MUNGU YUPO NA HAKI LAZIMA ITENDEKE''
SOMA ZAIDI AT INSTAGRAM Follow mbuta nangablog

Katika uchunguzi wake, hivi karibuni gazeti hili lilielezwa kuwa kuna habari ya kashfa nzito inayomtafuna mbunge huyo anayetokea Kanda ya Kaskazini lakini haikufafanua kwamba inahusu nini.
VYANZO
Baada ya…

Baada ya kutulia na kupekua kwenye vyanzo vyake, Uwazi lilibaini kuwa kashfa inayomlenga mheshimiwa huyo ni ya ubakaji na tayari imefikishwa mahakamani huko London nchini Uingereza.
Habari hiyo ilielezwa ‘kijuujuu’ hivyo gazeti hili likamtafuta Flora ambaye ni Mtanzania anayetokea mkoani Kilimanjaro ambaye anaishi katika Jiji la London kikazi.
MAZITO
Alipopatikana Flora alibanwa kisawasawa ndipo akaibua mazito huku akieleza tukio zima lilivyofanyika kwa data na vielelezo vya kila aina ikiwemo barua ya Mahakama ya Crown ya London.
“Ni kweli mheshimiwa … (anamtaja jina) alinibaka Agosti, mwaka jana. Yeye na makada wenzake wa chama chake walikuja hapa London kwa ziara ya kichama na kwa kuwa mimi sina chama nilikwenda kuhudhuria mkutano wao kwa kuwa nina mtandao wangu (blog) hivyo nilitaka kupata habari za kuingiza kwa sababu ni za watu wa nyumbani (Tanzania).
MAZOEA YAANZAVYANZO