KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 30 August 2015

WHATS NOW ? KAMPENI ZA URAIS TANZANIA ZAZIDI KUWASHIANA MOTO '' JAMANI MIMI FLORA LYIMO AKA MBUTA NANGA NAWATAKIENI ALL THE BEST NA NAOMBA MUNGU VYAMA VISITUTENGANISHE'' RUWA MANGI''

FLORA LYIMO AKA MBUTA NANGA'MTANZANIA ALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO'
Ndugu zangu Watanzania wenzangu' Tumsifuni Yesu Kristu' Natumaini hamjambo popote pale mlipo ' na vile vile natumaini wengi wenu mnayafuatilia yanayo endelea sasa hivi kule nyumbani Tanzania ikiwa wewe Ushabahatika na kuja huku Majuu Nchi za Ulaya na Marekani na hata popote pale Nje ya Tanzania' SI WAJUA KIPINDI HICHI NI CHA UCHAGUZI MKUU WA URIS TANZANIA ' Sasa basi kwa kuwa Tuna uhuru wakumchagua Kiongozi wetu na Raisi wetu Tumpendae sisi wenyewe pamoja na CHAMA '' Basi Tuheshimiane na kutambua kwamba ,Vyama visitutenganishe kabisa'' Yani TUOMBEANE MEMA KWA NJIA NA UAMUZI WETU /WAKO ULIO AMUA NA CHA MUHIM 'TUOMBE MUNGU AWEZE KUTUCHAGULIA KIONGOZI ANAE TUFAA NA SIYO CHAMA'' Tukae tukijua kwamba Tanzania Tatizo letu kubwa la kutaka mabadiliko siyo VYAMA'' BALI '' MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA'' Sasa basi hayo maisha BORA yataletwa na MTU NA SIYO CHAMA'' BWANA ASIFIWE SANA NA TUMUOMBE MUNGU SANA ,ATUONGOZE KIPINDI HICHI KIGUM KWETU SISI WATANZANIA'' MAANA SASA BABA NA MAMA WAO WANATAKA CCM NA WATOTO WAO WANATAKA VYAMA VINGINE'' Aisee hapa Bila Mungu ni #NGACHOKA''

MOTO ULIANZA KUWASHWA HIVI'' 
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji wakiwasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI.
 Umati wa wakazi wa Jijini Dar es salaam, ukiwa umefurika kwa wingi kwenye viwanja vya Jangwani kuwalaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.
Wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakiwashangilia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, walipokuwa wakiwasili viwanjani hapo, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.
Wafuasi wa Vyama vinavyounda UKAWA wakionyesha furaha yao kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipowasili kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam, kulikofanyika Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Chama hicho, leo Agosti 29, 2015.
Sehemu ya Wanahabari kutoka Vyombo mbali mbali nchini wakiendelea kuchukua habari za Mkutano huo, uliofanyika jioni ya leo kwenye viwanja vya Jangwani Jijini Dar es salaam na kuhudhulia na maelfu ya Wakazi wa jiji hilo.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe akimkabidhi, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa pamoja na Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji, Kitabu cha Ilani ya Uchaguzi ya Chama hicho kwa mwaka 2015/2020 mara baada ya kuizindua, leo Agosti 29, 2015.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward 
Lowassa, Mgombea mwenza, Mh. Juma Duni Haji pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar katika mwamvuli wa 
UKAWA kupitia Chama cha Wananchi CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wakionyesha vitabu cha Ilani ya Uchaguzi mara baada ya kuzinduliwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe.
Viongozi wa Vyama mbali mbali vinavyounda UKAWA wakionyesha Ilani hiyo mbele ya maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es salaam, leo Agosti 29, 2015.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman Mbowe (kulia) akiwatambulisha baadhi ya Wagombea Ubunge katika Majimbo mbali mbali ya jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti Mwenza wa UKAWA, Mh. James Mbatia akizungumza kwenye Mkutano huo.
ASANTENI SANA KWA PICHA MY DEARS''
FOLLOW  AT INSTAGRAM MBUTANANGABLOG 

No comments:

Post a Comment