Msanii Shilole akipata kitu inaitwa Mbwa wa moto “Hot Dog” wakati alipokuwa New York City akisubiri boti kuelekea kuliko statue of Liberty akiwa ameambatana na msanii mwenzake Masanja (hayupo pichani) Jumanne July 9, 2013,yani hapa chezea kitu cha kuwekwa katikati Bwana kitamuje''Mbuta Nanga'kula upate Nguvu yakuimba na Jenifa leopoz'' yani I can't wait nakuombeaje Mpora wetu '' wale walosema hutoweza kufanikisha yako wao siyo Mungu na pia Riziki hazitoki mikononi mwao'ona hapa una kula Mbwa wa moto a.k.a Hot Dog on mkate wa skonji 'Majuu''wao umewaacha wapi tena''na wanakula nini tena ''Chips za Vumbi Bongo''Ruwa Mangi''
Kutoka kushoto ni Ebra NY, Libe, Masanja na Shilole wakiangalia Statue of Liberty kwenye mto wa Hudson unaotenganisha New Jersey na New York.
Libe, Masanja na Shilole wakinyanyua mikono yao juu kwa mfano wa Statue of Liberty.Na hapa ndo mnaweza kuona kwamba Masanja na mwenzake walishindwa na Shilole kwa kunyanyua mkono juu moja kwa moja na siyo unakunjika wanawanne'' Mbuta Nanga'' hahhaaa'' Hongera Shilole umewashindaaa""
Ebra Vijimambo vya NY (kushoto) akiwa na wageni wake Libe, Shilole na Masanja wakati alipokua akiwadhurulisha New York City Jumanne July 9, 2013.
Masanja akipata picha nje ya mahali panapoumiwa kupandia boti kwa wasafili wanaoelekea kwenye astatue of Liberty.
Masanja akipata picha kwenye gari la Polisi wa New York.
Shilole asking the Little Boy ''Hi Little Boy kati yetu watatu unachagua nini? The Boy went for Farasi'' Mbuta Nanga'' Hapa wakipiga picha na Polisi kikosi cha farasi Manhattan New York
.
.