KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday 10 April 2011

* YOU BEEN SNAP* BALOZI WA TANZANIA NCHINI UINGEREZA PETER KALLAGHE AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI MJI WA READING"


*BY FLORA LYIMO DESIGNER* 

  Mh Balozi Kallaghe akijibu Moja ya Hoja nzito zitizolewa na wadau"
 Wadau wakiwa kwenye mkutano wakiskiliza kwa makini"
Mh Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza Peter Kallaghe akitoa ufafanuzi kwa  wadau kuhusiana na mambo mbalimbali, pembeni yake akiwa na mama Balozi Mrs Joyce Kallaghe pamoja na mama Maria wakifuatilia mada hiyo kwa makini" 
Mh Balozi wa Tanzania nchini Uingereza Peter Kalaghe akiongea na Baadhi ya wafanya biashara na wajasimali katika mji wa Reading"
Mjasilimali Ben Chisumo Kutoka Locas Impex akitoa dukuduku lake kwa Mh Balozi"
Kutoka kushoto Said Surur anaewakilisha TA London akimhabarisha  Second Secretary Allen Kuzilwa kutoka Ubalozini aliaambatana na Balozi katika ziara hii"
 Mwenyekiti wa Tanz Uk Dr John Lusingu akiweka mambo sawa na mama Maria Kwenye Mkutano wa Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza na watanzania wanaoishi Mji wa Reading"

 
  Kutoka kushoto Frank, Mh Balozi na Nocha katika Picha ya Pamoja"
Mh Balozi akifanya interview na Urban Pulse"
Mh Balozi alieambatana na mama Balozi  wakiwa na Viongozi wa TA pamoja na crew ya Urban Pulse"



No comments:

Post a Comment