| kikazi zaidi, hii ndo kazi yangu ,nayoipenda mno.. "DESIGNER HAND -KNITWEAR" |
| wakati wakunipa oda yako ndo huu Mdau .just give me a call anytime 07787471024 Email flo1974@btinternet.com |
| amini msiamini ,hivi vyote vimetengenezwa kwa mikono " "knitted by hand" |
| chaguo ni lako MDAU .karibu sana" |
| KOFIA ILOUNGANISHWA NA SCARF YAKE £49 |
| KOFIA BILA SCARF £ 39 |
| ALL YARN ,zilizopo hapa zipo tiyari kukutengenezea kitu chako mwenyewe cha knit wear. BY FLORA LYIMO DESIGNER" |
| Time for kufundishwa!! lovely ANNA ( kushoto )akimfundisha one of the knit wear lover" how to knit for the first time" |

No comments:
Post a Comment