KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Monday, 9 June 2014

BY FLORA LYIMO ~ MATOKEO YA THE MTV MAMA 2014 AFRICA MUSIC AWARDS'' AISEE TANZANIA TUMEAMBULIA ''MATUSI ''MBUTA NANGA'' JAMANI HII NDIYO SABABU HUWA NAWAAMBIENI MNAPO PEWA NAFASI YA KUITANGAZA TANZANIA YETU ''WACHENI MARINGO'' I THINK MNANIELEWA''


HII NI KWA AJILI YAKO DIAMOND'' USIKILIZE HUU WIMBO PLEASE'' NAMATUMAINI MAKUBWA UTANIELEWA'' IKIWA UMESHAPEWA SHOW'' UNALIPWA NA HELA YAKO YA MALIPO IPO KIHALALI''USIJALI HOW YOU ARE GOING TO GET THERE''WEWE PANDA HIZO ECONOMY NDEGE NI POWA TU'' CHA MUHIM NI WEWE TO GET THERE '' AND NOT THE FIRST CLASS aka THE POSH THING'' MATIRIO KUWATAJIRISHA WATU BURE' THINK ABOUT WHAT IS GOING IN YOUR MFUKO AND KUITANGAZA NCHI YAKO'' ENJOY THE SONG'' I LOVE HER AND LOVE HER VOICE' NA UJUMBE MZITO WA HUU WIMBO WAKE' FAB'''
USINUNE'' WEWE FURAHIA HAPA ULIPOFIKIA NA ULIKUWEMO JAPO KUSHUHUDIA NA MACHO YAKO WEWE MWENYEWE'' USHAURI WANGU KWAKO DIAMOND' NI MDOGO NA WA MUHIM SANA''AND ITS GOT NOTHING TO DO WITH THIS AWARDS'' OK'' SAWA EEE''
NUMBER ONE''aka MY NUMBER ONE'' NI HIVI''
Unapo pata nafasi ya kutoka hapo Nje ya Tanzania na kwenda kufanya show zako Nje ya Tanzania'' Zingatia ya kwamba'' UNAUZIMA'' UNAIPENDA TANZANIA YAKO,UMELIPWA HELA YAKO YA SHOW'' HUJAFANYA BURE''(Kidogo pia kinasaidia sana'' ) YANI KINASAIDIA WEWE MWENYEWE KUJULIKANA KWENYE NCHI ZA NJE '' Na hata kukujua wewe ni DIAMOND MTANZANIA UNAIMBA VIPE NA UNAFAA KUTEULIWA KWENDA KUPIGANIA AWARDS KAMA HII AMBAYO UMEKOSA'' BUT YOU WERE IN IT'' Sasa I THINK UMEELEWA '' KAMA ILE DRAMA YA JUZI MIMI MWENYEWE NILISHUHUDIA TATIZO LAKO TO CANCEL ILE SHOW YA NORTHAMPTON UK 'WAS KWA SABABU YA WEWE KUDAI (last minute) KWAMBA UNATAKA FIRST CLASS TICKET'' KUMBUKA ALIE KULETA NA ANAE WALETENI HAPA UK KUCHEZA HIZO SHOW ..SIYO MTANZANIA MWENZETU'' NI MKENYA'' MR MALIBU '' NA HATA KAMA ANGEKUWA NI MTANZANIA MWENZETU'ulichokifanya was nothing but AIBU NA UMBURULA'' SAWA'' NA ULICHOKIMFANYIA KILIKUWA SIYO AIBU KWAKE BUT AIBU KWETU SISI WATANZANIA'' ULITUAIBISHA VIBAYA SANA KWA WENZETU'' NA HATA MWENYE ILE CLUB AU NISEME WENYE ILE THE PLACE AMBAYO (ACADEMY ) SIYO YA WATANZANIA''IS ALSO YA WENZETU WA NCHI ZINGINE '' NA WANAPENDA KUFANYA KAZI NA OUR SUPER PROMOTER'S WATANZANIA AMBAO WEWE MWENYEWE UMEWAAIBISHA (NA SIYO MARA YA KWANZA)'WAS LIKE HAWAJUI WANACHOKIFANYA IN MACHO YA WATANZANIA NA FANS WAKO ''WAKIFIKIRIA UMELIPWA HELA KIDOGO YA SHOW'' BUT THAT IS NOT TRUE'' PLEASE'' SASA NI WAKATI WAKUJIFUNZA FROM MAKOSA ULOFANYA'' NA KUTAMBUA KWAMBA WE TANZANIAN'S BILA KUJITANGAZA HATA KWA BURE'' HATUTAKAA TUJULIKANE,WALA KUSHINDANA NA MATAIFA MBALI MBALI NA KUSHINDA'' HI NI KWA WANAMZIKI WOTE WATANZANIA WENZANGU''MNAPOIPATA NAFASI YA KUFANYA SHOW ZENU HUKU MAJUU AU NISEME KWENYE NCHI ZA WENZETU '' ISIWE TABU HOW YOU GET THERE'' MAMBO YA FIRST CLASS TICKETS WAKATI WEWE MWENYEWE HUJAWAHI KUTOA HELA ZAKO NA UKASAFIRIA HIZO FIRST CLASS WACHANA NAZO'' WEWE JALI MALIPO YA SHOW YAKO''WEKA HELA MFUKONI ''SAFIRI HATA NA MKOKOTENI '' FIKA ITANGAZE NCHI YAKO NA MATAIFA MENGINE YAPATE KUWATAMBUENI '' (WATANZANIA) MIMI NI HAYO TU''KWA SASA'' NA WALA HUFAI KUPEWA POLE'' UNA FAA KUPEWA PONGEZI'' HONGERA KUFIKA HAPA ULIPO FIKA SASA HIVI'' UMEVAA VIZURI UNA MSICHANA MZURI ANAJUA KUVAA NA KUKUVALISHA'
 JIREKEBISHE NOW'' PIA ''MAMBO YA KURUKIA RUKIA WANAWAKE SIYO MAZURI ''HUWA PIA INAKUCHAFULIA CV YAKO'' NOW ''YOU GOT WEMA SEPETU (like we all know about now)'' I DO THINK KUNA WENGI PIA UMESEMA UMEMALIZANA NAO'' LETS HOPE THAT IS TRUE'AND NO WAY BACK ''NYUMA,MBELE,NYUMA ,MBELE'' KWANI UMEKUWA KINYONGA? WACHANA NA HAYO MAMBO SASA SONGA MBELE NA MSIMAMO WA MBELE KWA MBELE'' STAY BLESS AND ENDELEA KUITANGAZA NCHI YETU NA SISI (MIMI FLORA LYIMO ) I WILL BE ALWAYS THERE TO GIVE YOU MY SUPPORT''NA UKIKOSEA NA KUAMBIA '' SIYO SIKUAMBII' KWASABABU NAKUPENDA'' AKUPENDAE HUKUAMBIA UKWELI'' AND THAT IS ME'' NISHAKUAMBIA UKWELI''MY NUMBER ONE'' SASA WACHA KAZI ZIENDELEE''MBUTA NANGA!!
THE WINNERS OF THE 2014 MTV AFRICA MUSIC AWARDS
Best Male: Davido (Nigeria)
Best Female: Tiwa Savage (Nigeria)
Best Group: Mafikizolo (South Africa)
Best New Act: Stanley Enow (Cameroon)
Best Live Act: Flavour (Nigeria)
Best Collaboration: “Y-tjukutja” – Uhuru Ft. Oskido, DJ Bucks, Professor and Yuri Da Cunha (South Africa/Angola)
Best Hip Hop: Sarkodie (Ghana)
Best Alternative: Gangs of Ballet (South Africa)
Best Francophone: Toofan (Togo)
Best Lusophone: Anselmo Ralph (Angola)
Artist of the Year: Davido (Nigeria)
Song of the Year: “Khona” – Mafikizolo ft Uhuru (South Africa)
Best Video: Clarence Peters (Nigeria)
Best Pop: Goldfish (South Africa)
Best International: Pharrell
Personality of the Year: Lupita Nyong’o (Kenya)
MTV Base Leadership Award: Ashish J. Thakkar (Tanzania)

Transform Today Award by Absolut: Clarence Peters (Nigeria)

5 comments:

 1. ushauri mzuri sana Flora ,yani im with you in 100%'' akumbuke alikotoka na alipofikia sasa'' kwani huko kwa MTV MAMA AWARDS alikwenda na first class juzi? hebu akujibu 'mbuta nanga''

  ReplyDelete
 2. hongera kwa ushauri mzuri kweli kabisa kuna watu wengi wakipata wanaanza majivuno na madharau na kuwasahau hata wale waliowafikisha apo walipofikia '' Bless You Flora Lyimo nikisoma post zako huwa sinuni''

  ReplyDelete
 3. THANK YOU ''
  Miss Flora Lyimo

  ReplyDelete
 4. umeongea point sana flora lyimo,

  ReplyDelete