Jamani how cute, alinichekeshaje"" yani nilifurahi sana na mama yake alikuwa ni mtu mzuri sana,alivyofurahi kuona nina kofia ya kumtosha mwanae .alibakia mdomo wazi..and aliponiuliza nilijifunzia wapi ,nika muuliza nyumbani Tanzania nikiwa mdogo mama yangu alikuwa anatusukia sweeta hasa za kuendee shuleni kwa ajili ya baridi , alibakia kuniuliza maswali , si Tanzania ni nchi ya jua au ? ni kamuambia ndiyo ,lakini mimi natokea Moshi chini ya Mlima Kilimnjaro na huwa kuna baridi sana, mara nyingine ni baridi hata kuliko hapa Ulaya, je unaufaham mlima kilimanjaro ,akasema hapana ,je ungependelea kufika kuuona, yah yah, she say...ndo nika mpa business card yangu nika muambia akaribu sana Tanzania ,akiingia kwenye my blog
(YOU BEEN SNAP BLOG ) kuna links za wanaohusika na upandishaji wa wageni huko mlimani.lol..Kweli naipenda Nchi yangu Tanzania, najivunia Tanzania, nacheka Tanzania ,wacha niishie hapa nisije haribu
wimbo wa ndugu na dada yangu
( Francia Dtr) |
No comments:
Post a Comment