KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 1 February 2012

* YOU BEEN SNAP BLOG * LOOK OF MISS FB FASHION POLICE FROM IBM UK 28-01-2012.

Huyu dada ,kavaa black outfit yake vizuri ,ila hili koti (coat)kwenye dancing floor sijui ni la nini ? alafu lenyewe limemuengezea ukubwa .this is just not good for her look kabisa" Na hiyo top ni yaku AVOID kabisa! na sidiria sijui kama alikuwa kavaa..anahitaji kuvaa BODY SHAPER!! 
VIPULI (earring)are not for her look pia, hana shingo ndefu yakuvivaa, vingetakiwa viwe vifupi visivyo mgusa kifuani." she need small drop or large hoop"

hapa kwa nyuma, SHORTS...is very nice on her ,ila SIMU ni ya nini mfukoni ,na ingempendeza zaidi kama isingekuwa na mifuko ya nyuma ,mana imefanya hiyo kaptula kuwa na uzito na kuisababisha kujiingiza ndani kati ya mapaja " TIGHTS AND SHOES ON POINT "

No comments:

Post a Comment