KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 9 February 2012

*YOU BEEN SNAP BLOG *MISS FB FASHION POLICE ,LEO NAONGELEA KUHUSU VIATU"SHOES"

                                       *IN PHOTO - MISS FB -FLORA BAHATI LYIMO*

MISS FB FASHION POLICE YA LEO NI KUHUSU VIATU ( SHOES)
Viatu , zaidi ya other accessory,have the ability to completely change the character of an outfit and give it 'ATTITUDE"Court shoes are conservative,stiletttos are sexy and provocative, sneakers are "CASUAL"nime iandika kwa hefufi kubwa hiyo casual kwa sababu ni muhim sana kutambua tofauti yake ,maana inaweza kukuulia utam wa nguo yako ya usiku au ya kuparty hard"na hasa kwenye sherehe za muhim kama vile harusi ect" Also lamb skin slippers are for home.
Your foottwear not only reflects your personality but affects it too. Hata kama vipo so comfortable that forget about them,you walk ,feel and act diffrently in diffrent shoes. kumbuka Style yoyote ulochagua , QUALITY AND COMFORT ARE ESSENTIAL. Poor quality shoes bring down the tone of an outfit immediately.wakati unataka kununua viatu nunua mchana ,kwani mchana unakuta miguu haijachoka na kuvimba ,kwani wengi wetu tunatambua hilo au lishawahi kutufanyikia pale unataka kujaribu viatu miguu haiingii kabisa ,na hivyo viatu unafaham kwamba ni saizi yako kabisa.Anyway , na kama bajeti yako au uwezo wako mdogo ,basi chagua style that itaendana na almost everything in your wadrobe in colour and attitude. Ni wangapi mna viatu kuliko nguo ? mimi binausi kusema kweli nina nguo nyingi kuliko viatu , why kwasababu viaatu vyangu vingi nimechagua au kununua in colour and attitude hasa za black .
Wapendwa wangu ,ni hayo tu kwa leo .next nita wawekea picha ya Miss FB Fashion Police wa leo .usikose.kwani unaweza kujifunza limoja au mawili ambayo hukuwa unayafaham.

No comments:

Post a Comment