KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 9 February 2012

*YOU BEEN SNAP BLOG* MISS FB FASHION POLICE OF 09/02/2012"


Hapa kapendezaa,yes bila viatu hivyo"

My dear umependeza sana kutoka juu hadi juu ya magoti yani nikisema hivi na imanisha bila hivyo VIATU kabisa ,kwani hivyo ni vya CASUAL WEAR ama casual look na siyo vya kuvalia na nguo ya jioni (evening wear) au party dress tena la kumeremeta ni vya KUAVOID kabisa.Yani hapa inasemekana ulianza kuvaa viatu kabla hujavaa nguo ,next time jaribu kuvaa nguo alafu ndo uanze kutafutana na viatu ,kwani hapo utaona kiurahisi ni kiatu kipi kinaendana na nguo hiyo au gauni hilo na unaende wapi!

No comments:

Post a Comment