KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Friday 10 February 2012

*YOU BEEN SNAP BLOG * SAD SAD NEWS" HARAMBEE YA MSIBA WA MTANZANIA MWENZETU CHRISTAVINA KUSAGA CRYOR, WASHINGTON DC...!!!

Marehemu Christavina na mume wakiwa wanakata keki siku ya harusi yao
---
Familia ya Kusaga inawaomba watanzania wote walioko Marekani na hasa eneo la Washington DC na vitongoji vyake kushirikiana nao katika harambee (fundraising) ili kupata pesa ya mazishi ya mtanzania mwenzetu Christavina Kusaga Cryor aliyefariki February 7, 2012 kwa sarakani ya utumbo (Colon Cancer)
Marehemu alikuwa akiishi Landover, MD. Ameacha mume na watoto wawili- mvulana wa miaka 4 na msichana wa miaka 2. Alikuwa akisumbuliwa na cancer ya utumbo.

Tafadhali fika tushirikiane kusaidia mume wake na watoto na familia wamzike mpendwa wao. Jumla ya gharama za mazishi ni $11,000, na mpaka sasa ni $2,000 tu imepatikana. Tunashukuru kwa waliokwisha saidia.
Harambee itakuwa Jumapili February 12, 2012, kuanzia saa 8.30 mchana (2.30pm).
Anuani ni: 3621 Campus Drive, College Park, MD 20740.
Kwa wale wa mbali au wasioweza kuhudhuria tafadhali tusaidie mchango wako kwa kutumia Capital One Bank, Account# 1351500235; Routing # 255071981. Tafadhali eneza habari hii kwa ndugu na marafiki wote. Asanteni sana kwa ushirikiano wenu katika wakati huu mgumu.

Kwa habari zaidi mpigie: Magoma (202.607.1976); Adelaida (240.602.3183); Matinyi (301.792.2832); Mkakile (240.938.3177); Teddy (301.25441696); Makaya (202.460.1044); Latifah (240.603.7353); au Rebecca (202.580.4648).

1 comment:

  1. Asante sana kwa kutuwekea tangazo letu la msiba huu kwenye blog yako dada flora ,Mungu azidi kukubariki na uwe na upendo huo huo ulonao.

    ReplyDelete