KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Wednesday 23 May 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * MATOKEO YA RAI'S BABY SHOWER ILOFANYIKIA HUKO LECISTER" DRESS CODE: SUMMER COLOURS " SOMA MANENO MACHACHE YA MISS FB FASHION POLICE!!

The mama to be " kwa Rangi zake kazipangiliaje si mchezo na zimekolea fresh of English summer"

Hapa picha ya pamoja ili kumpata au kuwapata walofika kuchafua shughuli hii" haya kaeni mkao wakuletewa ambao hawakufaham nini maana ya Dress code hii.SUMMER COLOURS"

Dada yetu hapa wa mbele ,chezea yeye,,yani hapa alijiachia mpaka hata siri zake za ndani alizimwaga uwanjani ..ngoma ilikuwa imenogaa"...CHAI ILIKOLEAJE SUKARI"

Cake yenyewe on point inasema SUMMER COLOURS!!

Kama mwakumbuka huko nyuma Miss FB Fashion Police niliwahi kuwaambieni wakati unapokwenda kuchafua shughuli za watu yani kutokuvaa dress code hiyo ,usipige picha ya pamoja na walovaa dress code hizo maana utakuwa unawakatia mstari wao ulonyoooka" ona sasa hapa kwenye picha hii...SEMENI YENU WADAU " HAKUNA MATUSI LAKINI ..HAPA SIYO KUMTUKANA MTU ,BALI KUELIMISHANA KIMAVAAZI KWENYE SHUGHULI ZA WATU ZENYE DRESS CODE"

!!COMING SOON JUBILEE BABY SHOWER IN LONDON!!

5 comments:

  1. heheee,leo umetuletea jg, wewe kiboko miss fb , mimi ushauri wangu wa bure kwake ni hayo minyole yake ambayo anaganda nayo kama utazani gundi walomuwekea nayo imegoma kutoka nyooo,

    ReplyDelete
  2. flora jubilee baby shower ni ya nani hatualikani ....na watu ndo wavaeje,mimi nasubiria picha mama wa fashion police, na huyo jestina jamani kwani hizo hair zake hajiangalii kwenye kiyoo,.mwenyewe zimemchokesha "

    ReplyDelete
  3. uwiii yamekuwa haya ,kweli wabongo ndo maana hatuendelei ,mtu unaalikwa shughuli za watu alafu unataka iwi kivyako vyako ,si ufanye yako au kaa nyumbani usubirie wanao wakue nawe uwafanyie harusi ...nimewaimnd sana hao walokuja kukupa umbea huu flora"

    ReplyDelete
  4. jestina g,badilisha nywele angalia wenzio kila wiki wame look fab sasa wewe mama iman tukuelewe vip in fashion ? you realy look old with that hair"

    ReplyDelete
  5. nice, hongera ray, all the best for new babe

    by faridah gullam

    ReplyDelete