*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
Siku ya leo ni ya huzuni kwa wengi waliopoteza ndugu zao katika ajali ya Meli MV Bukoba iliyotokea Mei 21 1996. Inakadiriwa watu zaidi ya 800 walipoteza maisha katika ajali hiyo. Hakika siku hii, siyo siku ya kutamanika kwani ni siku ya hofu, huzuni na majonzi.
Baadhi ya ndugu wa waliopoteza maisha katika ajali hiyo waki sali"
Baadhi ya makaburi ya walio kufa maji kwenye ajali hiyo yalioko eneo la Igogo Jijini Mwanza"
No comments:
Post a Comment