KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 17 May 2012

* IN YOU BEEN SNAP BLOG * PICHA ZA VITU NA WATU MBALI MBALI KATIKA CFAB" 53rd INTERNATIONAL SPRING FAIR AT KENSINGTON AND CHELSEA TOWAN HALL LONDON 15/5/2012" (Album 3 )NIKIWEPO KITRADE ZAIDI" ONA VITU NIVYONUNUA NA KUUZA BAADAE" PIA SOMA USHAURI WANGU WA BURE KWA WAFANYABIASHARA WADOGO WADOGO KAMA MIMI"

Kuanzia kushoto Miss FB Flora Bhati Lyimo Trader and Designer akiwa na New Friend wake at CFAB eventThe Gorgeous Ana Irene Delgado (Ambassador of the Republic of Panama"







Vitu vingine ambavyo ningeuza hasa hapa niliposuka nywele zangu Block rangi za Bendera yangu ya Tanzania" watu naniuliza sana kuhusu rangi hizi na wakitaka niwauzie Bendera wakati nilipokuwa nimesimama hapa kwenye Stall yetu "







Hiki kimdoli niliambiwa kwamba hata KATE NA WILLIAM wanacho ,na kinarekodi sauti yako alafu unaweza kusikiliza saa yoyote na wakati wowote na sauti ya aina yoyote!!ila sikukinunua maana sikukubaliana na bei yake.ndo maana hata hapo hawajaweka bei uone ,unatakiwa kuuliza bei" MMEONA EE" ££pls ask" hapo juu "


Kolanuts for you madam!! is free ...but nichunguuu.na hazina utam wowote".hahaha kweli cha bure kiogope...mbuta nanga!!


nikijaribu kofia hiyo pia ni hand-knit"


For how much dear!!










MISS FB FLORA BAHATI LYIMO " THE TRADER IN FOR THIS WADOLI " wadoli hawa ni wa KIISLAM " kama unavyowaona hapa pichani na wametengenezwa kwa mikono .Hand-knit " so wanauzwa mwanaume ni £5 na mwanamke ni £10 paudi " hii inaonyesha kwamba wanawake tunabei zaidi ya Wanaume ..mbuta nanga!!
Anyway ,mimi nilinunua kadhaa kwa ajili ya biashara najua nitapata faida kubwa sana hapa"na vile vile ninasaidia CFAB" Children and Families Across Borders"



huyu ni Mwanaume"

huyu ni Mwanamke"na block rangi zake"



Wacha niwape ushauri mdogo na wabure kwa wale wafanya biashara hasa ndogo ndogo kama mimi hapa" Biashara yako inaweza kufana kwa pale utakapoifaham kimtaa au niseme kimahali pa kuifungua au pakuuzia na watu unaowauzia ni watu waaina gani" na je vitu hivyo ni vitu ambavyo wanavitumia ? au wanaweza kuvitumia watu hao ?..wewe usiuze mbege sehem ya wasotumia mbege" hutauza chochote hata kata moja au chupa moja kwani upo sehem isokuwa ya biashara yako..hapo ndipo wengi wetu wanafanya makosa na mwisho wasiku kuishi kwa wasi wasi wakidai kwamba WAMEROGWA"Mimi nimejifunza haya yote kwa kampuni niliyokuwa naifanyia kazi kwa miaka saba(7years)nikiendelea kuwapa Siri hii"

Mimi hivyo vimdoli nilivyoviona na pia maana vinaendana na my Design nilijua hapa lazima nitapata hela kwa kuwauzia Waarabu Ulaya" London " sasa wakaniuzia wawili Mme na Mke kwa £10. mimi nimeshauza kadhaa kwa sasa hivi na nimewauzia Mke na Mme kwa £40. sasa kama vipi ingelikuwa ni mahali kama Selfriges Mnadhani ingelikuwa how much ? acha  maoni yako kwani unaweza msaidia MFANYABIASHARA AU NISEMA SISI WAFANYABIASHARA"

Ama kweli Akili ni Mali " na namshukuru sana Mama yangu Augustina kwa kunifundisha jinsi yakupata hela yako mwenyewe na bila kuwatagemea watu hasa wanaume" kwani utaishia kuangamia na bila kuwa na haki yakuweza kusema usikike katika unyumba wenu "utabakiwa kunyanyaswa na huku akizigawa hela zake kwa wanawake wengine watafutaji nawewe ukiumia tu" kwani hata kwenye baa utamkuta na hao wanawake watafutaji na hutoweza kumuuliza chochote" kina MAMA/DADA jueni kwamba kama Mungu kakupa mikono na miguu.unaweza kufanya mengi sana " wewe angalieni vitu hivyo vingi vilivyokuwa vyauzwa hapa CFAB event " vilikuwa ni vyakutengenezwa na mikono hasa na Wanawake zaidi"

No comments:

Post a Comment