KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday 17 May 2012

*IN YOU BEEN SNAP BLOG * SAD NEWS " PATRICK MAFISANGO MUTESA" AFARIKI DUNIA KWA AJALI "

*MKILETEWA HAPA NA MISS FB FLORA BAHATI LYIMO*
Amini usiamini Patrick Mafisango Mutesa hatunae tena Duniani. Habari nilizozipata zinasema kiungo huyo wa Simba amepata ajali ya gari  maeneno ya Tazara wakati akijaribu kumkwepa mwenye pikipiki na kwa bahati mbaya gari lake likakosa balance na kuingia mtaroni na hapo ndipo alipopoteza maisha yake"


Miss FB Flora Bahati Lyimo " say: Mungu wangu hapa ilikuwa ni mwendo wa kiasi gani ?
Ama kweli haya magari haya ,bila kuyatumia kwa uangalifu yatatumaliza wengi au kutumalizia mashujaa na watu tunaowahitaji hasa kwenye Nchi yetu Tanzania"

No comments:

Post a Comment