KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 9 September 2012

*IN FLORA LYIMO BLOG * LOOK OF ROMANTIC 09/09/2012 MISSY TEMEKE AND HER HUBBY WHICH MISSY TEMEKE SAY HE IS HER HERO"

Mapenzi ndo yanatakiwa kuwa hivi jamani yani hadharani na mtu wako hasa akiwa your Hubby" me love it pale watu wanapendana na wanafanya kila kitu pamoja hakuna kujificha ficha mara oh mimi sipendi picha, mara oh mimi sitaki kukuwepo kwenye ANY web " yani ujue hapo si bure ana lake  kuna jambo atakalo kuwa ana kuficha she or he" tizameni hapa vile watu wamependezeana hata huyo huko nyuma amekubali hadi akajificha uso...mbuta nanga!!

2 comments:

  1. mapenzi ndo hivi yanatakiwa wabongo siku zote ni majungu na kutokueleweka nani mme nani mke..sasa heri flora umewawekea mapenzi moto moto kutoka kwa wabongo halisi ili waige ...sexy mama temeke upo juu"

    ReplyDelete
  2. I agree with you, its about time tuanze ku celebrate and honor watu walio kwenye ndoa

    ReplyDelete