KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Saturday, 19 January 2013

DIARY YA FLORA LYIMO FASHION POLICE : AT HEATROW AIRPORT UTAZANI AT UBUNGO IN DAR ER SALAM KWENDA MOSHI NA BASI BECEMBER 2012 "
I love watoto wangu wa Tanzania jamani yani Kila nikienda nyumbani lazima nibebane na pipi za Ulaya kupelekea watoto wa Ngugu zangu nyumbani na pia watoto yatima ambao huenda kuwatembelea na kuhakikisha wamekula na kufurahi pipi za ulaya.yani mimi utotoni mwangu nakumbuka wazungu wapanda Mlima Kilimanjaro walikuwa wanakuja kuzurura zurura kijijini kwetu kabla ya safari zao ,basi walikuwa wanaona tunavyowakimbilia kwenda kuwatizama tumeona watungu ,MBUTA NANGA" basi walikuwa wanatupa vipipi vilivyofungiwa kwenye makaratasi mazuri ,nami nilipokuwa na maliza kuzila pipi hizo nilikuwa na weka vile vikaratasi pamoja na vya watoto wengine na kwenda kuvibandika ukutani kwetu kwenye kinyumba chetu cha udongo enzi hizo" Ruwa Mangi kwa kweli niacheni nijivunie jasho langu ,yani Nimetoka mbali na nimeona mengi mazuri na hasa mabaya mno" 
Sasa ona basi mahasira huwa nakuwaga nayo nikienda kwetu Moshi nabebana na mamizigo utazania natoka London kwenda Moshi na Lile basi la Kyindokyakombe" Mbuta Nanga" Mpaka nitoke huku Ulaya Wazungu Waingereza watanikoma maana My Wish is to amka one day na kukuta Moshi imekuwa kama London ,and you know what PAMOJA WE CAN!! WE CAN MAKE TANZANIA YOTE TO LOOK LIKE LONDON "SIUNAONA TUMESHAANZA NA PALE MOSHI ,DHUBUTU KUTUPA TAKA OVYO UONE"CHEZEA MJI WA WASAFI" AMEN!!

1 comment:

  1. Hhahahaa kweli wewe Mchagga ninoumaaa!!

    ReplyDelete