KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Tuesday, 5 February 2013

IN LOVE WITH MAYBELLINE!! HEBU NITAZAMENI MAKE-UP YAKE YANIFAA AU HAINIFAI" PIA ENJOY NYIMBO ZA BIKIRA MARIA !!

Sifa kwako Ee Mama Maria Kimbilio langu la Milele" Anyway Enjoy Flora Lyimo Fashion Police January 2013 photos at her London  Blessing Home" 

 In Love with Maybelline make-up ..yani sitotumia anything kisichokuwa cha Maybelline for a long time from now"
 Na kijua kilichomozaje Ulaya at my Blessing Home kwa mara ya kwanza mwaka huu tangu uanze"


 Busuuu hiloo for All Nyota zangu si mwajua hakuna Nyota bila shabiki" nawapendaje sasa"
 Ila sijapaka nyingi au kwa uangalifu kiivyo maana nimtoko wa kawaida wa kwenda Home kwa Wifi yangu tu"
 Msisahau kusalini Rozari hasa kuzibeba kwenye mabegi yenu kama hukutaka kuzivaa kwani ni Ufunguo wako wakuingia Mbinguni" and yes Hakuna kama Mama Bikira Maria" yani yeye ndie kimbilio letu sote na muombezi wetu kwa Mwanae"

Tunakushukuru  Mama Maria, Kwa Neema ulizotujalia Sisi wanao wanyonge tunaokulilia, sauti zetu zatuishia tukiomba Mama"  FLFP" Nampenda sana Mama Maria kwani hata Yeye ananipenda mno"Aika Mamakomae kanyi" 

No comments:

Post a Comment