KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Thursday, 21 March 2013

NDUGU ZANGU WATANZANIA NA OUR DIAMOND CUSTOMERS WA HOUSE OF FLORA " ONE'S AGAIN POLENI SANA KWANI MTATUSAMEHE MIMI SIPO HUKO TANZANIA ILA SOON KILA KITU KITAKUWA POWA!!

FLORA LYIMO :CEO  WA MKOPO EXPRESS OF LONDON ACCESSORIES TO TANZANIA FROM HOUSE OF FLORA AND FLORA LYIMO STOP RAPE AND RAP CHARITY'ALSO YOUR  FLORA LYIMO FASHION POLICE BLOG"
 
 HANDCROCHET HEADBAND IN TANZANIA FLAG :DESIGN BY:FLORA LYIMO FOR MY CHARITY" STOP RAPE AND RAP"

 HOT AND MUST HAVE HANDBAG BY: HOUSE OF FLORA


THANKS ALL SO MUCH FOR THE LIKE OF MKOPO EXPRESS OF LONDON ACCESSORIES TO TANZANIA FROM HOUSE OF FLORA" WE ARE HERE TO MAKE SURE YOU GET THE BEST ACCESSORIES " KWA JUMLA AU KWA REJA REJA " KARIBUNI SANA NA ENDELEENI KUTUPENDA NA KUTUNUNULIA BIDHAA ZETU" NA KWA WALE BADO HAMJAPATA MZIGO WENU POLENI SANA ILA JUENI HIVYO NDIVYO WATANZANIA WENZANGU WANAVYOFANYA KAZI ZAO'HUKO HOME TANZANIA" ILA SOON MAMBO YATAKUWA MAZURI ZAIDI" NIOMBEENI NIPATE DUKA ,DAR NA ARUSHA" MAANA MOSHI WENGI WENU MMENISHAURI NIFUNGUE STORE NA SIYO DUKA KWANI ULE MJI SIYO WA KUUZIA VITU VYA UREMBO HASA MABEGI' ETI NI WAKUUZIA VYAKULA HASA NDIZI" MBUTA NANGA!! HAHAHAAA NIMECHEKAJE "ILA ASANTENI KWA USHAURI WENU MUCH LOVE""
  •  
 

No comments:

Post a Comment