Yani hapa mngemuona msingeacha kumgeukia kama hawa hapa pichani walivyobakia kushanga huku wakitaka kuingia kwenye basi aliloshuka msichana huyu baada yakuulizia ikiwa laenda anakotaka kwenda akaambiwa haliendi ndo akashuka na kukutana na Flora Lyimo yupo tiyari kumfyetua"chezea Mpiga picha wa ukwee Flora Lyimo Photographer' ,wakuwachambua wachafuaji washughulini zaidi na hata yale yaliyojificha kuyafichua'
Flora Lyimo Fashion Police:
Yani huyu msichana ni bint mdogo na sijamuelewa ni kwanini haswa mchana huu ajipake sijui ni poda alafu kawa mweupe wa majivu yani poda yaonekana kabisa na kila mtu alikuwa anamgeukia yeye'' hivi hizo makeup zakutaka muwe weupe mnadhania kuwa mweupe ndo kuingia moja kwa moja Mbinguni au ? hebu nipeni jibu jamani maana kuna wengi sana wameharibika uso na viungo vyao vya mwili wakitumia mikorogo" have your say and don't forget to FOLLOW THIS BLOG"
MBUTA NANGA!HII BLOG-MAGAZINE INASHUGHULIKA ZAIDI NA YAFUATAYO '' WALE WACHAFUAJI WA SHUGHULINI KAMA VILE HARUSINI WASOFUATA ZILE DRESS CODE' RED CARPET AND ALL OTHER EVENTS 'ALSO YOUR OLD AND NEW PHOTO'S ALL KIND OF NEWS AROUND THE WORLD & FLORA LYIMO TZUK DESIGNS &TRADES'MBUTA NANGA LONDON KARIBUNI AT MY SHOPS CALL /WHATSAP (+ 44)07787471024:EMAIL:flo1974@btinternet.com FOLLOW INSTAGRAM> mbutanangablog or MBUTANANGASTYLE
KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!
FLORA LYIMO TZUK
FLORA LYIMO TZUK
KWA URAHISI ZAIDI PATA KILA KITU AMBACHO KIMEPOSTIWA TANGU KUANZISHWA KWA BLOG HII
- April 2017 (1)
- March 2017 (2)
- February 2017 (2)
- January 2017 (15)
- December 2016 (8)
- October 2016 (2)
- September 2016 (9)
- May 2016 (2)
- April 2016 (2)
- March 2016 (1)
- February 2016 (4)
- January 2016 (7)
- December 2015 (10)
- November 2015 (1)
- October 2015 (1)
- September 2015 (2)
- August 2015 (13)
- July 2015 (10)
- June 2015 (12)
- May 2015 (14)
- April 2015 (3)
- March 2015 (11)
- February 2015 (33)
- January 2015 (30)
- December 2014 (36)
- November 2014 (34)
- October 2014 (29)
- September 2014 (12)
- August 2014 (56)
- July 2014 (49)
- June 2014 (76)
- May 2014 (81)
- April 2014 (73)
- March 2014 (48)
- February 2014 (39)
- January 2014 (35)
- December 2013 (81)
- November 2013 (86)
- October 2013 (112)
- September 2013 (91)
- August 2013 (119)
- July 2013 (112)
- June 2013 (124)
- May 2013 (91)
- April 2013 (119)
- March 2013 (128)
- February 2013 (119)
- January 2013 (71)
- December 2012 (1)
- November 2012 (53)
- October 2012 (76)
- September 2012 (120)
- August 2012 (58)
- July 2012 (74)
- June 2012 (109)
- May 2012 (127)
- April 2012 (140)
- March 2012 (112)
- February 2012 (214)
- January 2012 (98)
- December 2011 (168)
- November 2011 (108)
- October 2011 (107)
- September 2011 (127)
- August 2011 (225)
- July 2011 (270)
- June 2011 (218)
- May 2011 (226)
- April 2011 (208)
- March 2011 (188)
- February 2011 (94)
- January 2011 (114)
FLORA LYIMO BLOG
FLORA
FLORA NA RAIS JK
FLORA NA MH PINDA
SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024
Friday, 31 May 2013
Wednesday, 29 May 2013
BY :FLORA LYIMO~ HHAHHAA MAPYA YA ULIMWENGU' HII NI MUST WATCH >TANZANIA TO DENMARK Official trailer 2013
I CANT WAIT KWA KWELI ''ALL THE BEST MY DEARS!!
BY: FLORA LYIMO~ HII NI KWA WALE WASANII WANAOHUSIKA APA NA NDUGU ZANGU WATANZANIA!!!
FLORA LYIMO MTANZANIA HALISI AIPENDAE NCHI YAKE KUPITA MAELEZO" |
HARD TALK. JAMANI WASANII WALIOKUWA NA SHOW ZAO WEEK HII. LADY JAY DEE .MWANA FA NA WENGINE. HONGERENI SANA KWA KUAIRISHA SHOW ZENU KWA SABABU YA KIFO CHA MSANII MWENZENU NA NDUGU YETU ALBERT MONGWEAR. Ushauri wangu kwenu ni kwamba Fanyeni show ya wasanii wote kwa pamoja .IJUMAA na viingilio vyote pesa hizo ziwe kwa ajili ya mazishi mazuri ya marehem na Familia yake. Hivyo mtakuwa mmefanya kitu cha maana sana. Na vile vile kuzipiga nyimbo zake most of the show hiyo. Na pia Clouds FM hongereni sana na endeleeni kutupeperushia nyimbo za Marehem Albert .kwani wanaosema msipige ni Walevi hawajitambui. Mbuta nanga. MSINGE PIGA WANGESEMAJE NA WASHABIKI ZAKE KWA JUMLA?. JAMANI WATANZANIA TUJIFUNZENI KUONA MAENDELEO YA WENZETU NA KUYAFURAHIA BADALA YA KUWAPOROMOSHEA. NI HAYO TU. NOW TUWAOMBEE MAREHEMU KWANI WAMETUTANGULIA TU.SAFATI NI YETU WOTE. R.I.P.
Tuesday, 28 May 2013
BY:FLORA LYIMO~ SIKIZA WIMBO WAKE HUU SHE GOT A GWAN & KILOCHOMUUWA KIJANA WETU WA BONGOFLEVA MBICHI MBICHI NDO HICHI SOMA HAPA!!
Habari kutoka kwa mtu wa karibu na Rapper Ngwea, aliejitambulisha kwa jina la Hamisi, amesema Ngwea alikua kule kwa mualiko wa kufanya show South Africa, ambapo alikua na msanii mwingine anaeitwa M to the P, na walitakiwa kuondoka leo kurudi Dar saa tatu asubuhi, lakini baada ya kuona hawatokei ndio wakaamua kwenda walipokuwa wamefikia na kuwakuta wote wawili wakiwa hawajielewi baada ya kujidunga madawa ya kulevya mengi (overdose ), walipowahishwa hospitali, habari ndio ikawa hivi, kuwa Ngwea amefariki na M to the P yuko hoi hospitali
BY:FLORA LYIMO~ GET FLORA LYIMO FASHION POLICE MAY OCCASION DRESSES HERE'' KUIGA NI BURE ILA KWA PESA ZAKO'MBUTA NANGA!!
Flora Lyimo Fashion Police; now kuniiga ni bure na mahali pakuniga ndo hapo nimewawekea mwishoni mwa picha hizi" |
Vaa your Dress and dance with it ki Taarabu zaidi hata yoga ina huu" mbuta nanga!! |
Hata kwenye mkeka mwekundu ndokabisaaa ina huuusikaaaaaa!! mwaona mambo lakini msiseme sijawaambia nakoyatoa magauni yangu na kama una bahati pia unawezakukutana nayo T.K.MAXX 'Ila kwenye maduka yao ya mijini na siyo yale yakule vijijini"
Hii nguo imetengenezwa ka adabu mbili " yakuketi na yakusimama' si mmeiona ee" chezea magauni ya kwenye mikeka mwekundu na yawana Taarabu full Rusha Roho keti chini wapate lakusema simama uwafume midomo yao" mbuta nanga"
ANYWAY TO GET FLORA LYIMO MAY OCCASION DRESSES GO TO "
http://dressesbylara.com/
Tell: 07960862494 TS Sagal
Wapo mji mkuu London ' 37 Great Titchfield Street,W1W7QZ
Naikiwa unataka upewe kwa bei powa wasiliana na mimi nikupe code " ili ukienda wakupe kwa bei powa"
WhatsApp +44 (0) 7787471024
Simnaona navyowapenda eeee" mwengine asingewaambieni ng'oo"
BY:FLORA LYIMO~ MBUTA NANGA" HII NI KWA WALE WAJUAJI WAKUSEMA 'HAPA MTASEMAJE SASA!!!
Sasa mtu akipiga picha hivi na hadi kufikia mitandaoni mtamlaum muweka kwenye Blog au alojiandaa and Happy kufyetuliwa' watu wengine wana maisha ya Freedom to do what they are happy with and not what they are not happy with" hakuna kuishi maisha ya kujisinyaisha kama milenda ilokosa maji'' the only bad thing in here is KUMSHIKA NA NGUVU ''YANI HATA MTU AWE UCHI WA KUZALIWA HUNA RUHUSA YAKUMSHIKA KWA NGUVU (UBAKAJI) HUU NI MFANO TU" NO RAPE (UBAKAJI ) WA MTU AU KITU CHOCHOTE UNAORUHUSIWA" RAPE IS A RAPE "
ANYWAY' Semeni yenu wajuaji wakusema and don't forget to
FOLLOW THIS BLOG"
ANYWAY' Semeni yenu wajuaji wakusema and don't forget to
FOLLOW THIS BLOG"
BY: FLORA LYIMO ~ MAPENZI YA CHINI YA MTI'UKIONA HIVI JUA LINACHOMOZA ULAYA'HIVI MBONA SIONAGI HIVI WHEN HAKUNA JUA"MBUTA NANGA!!
mapenzi ya juani na ya mvuani yapi matamu''mbuta nanga!!
Waone sasa ila hawa watakuwa wanapenda kujionyesha wakidonoana yani jana was like so many of them walikuwa wanadonoana donoana kama nziwa vile'' usikose kurudi kuona wengine nilowafyetua pia''yani mchana kweupee watu kibao but hawakuwa wanajali kabisa kwani wao hapo wanajiona Dunia ni yao peke yao " Anyway karibu tena 'and don't forget to FOLLOW THIS BLOG!!
Waone sasa ila hawa watakuwa wanapenda kujionyesha wakidonoana yani jana was like so many of them walikuwa wanadonoana donoana kama nziwa vile'' usikose kurudi kuona wengine nilowafyetua pia''yani mchana kweupee watu kibao but hawakuwa wanajali kabisa kwani wao hapo wanajiona Dunia ni yao peke yao " Anyway karibu tena 'and don't forget to FOLLOW THIS BLOG!!
BY:FLORA LYIMO ~ ALBUM (3) YA THE SPICE WEDDING OF ABBLA ILOFANYIKA ON 25.5.2013 AT SUN LOUNGE BANQUETING WEMBLEY " HII NI PARTY YA NNE YA HARUSI HII NA YA MWISHO !!
Love you my dears' Thank you so much for your love and support 'keep loving your Flora Lyimo Trade Handbags"
The best African Fashion Police ' the one and only Flora Lyimo Fashion Police Blog'where you can get Hot Handbags trade and design by:Flora Lyimo "WhatsApp OR call +44 (0) 7787471024
Mbuta Nanga ' kwa hiyo nguo zingine ni zakuvaliwa bila kuketi '' Ruwa Mangi' |
Palikuwa hapatoshiiiiiiiii''yani was all vigelegele na shangweeeeeeeeee" All the Best Maharusi wetu"
Jamani msisahau kurudi Album ya mwisho ya hii Spice Wedding will be coming soon " Don't forget to FOLLOW THIS BLOG"
Subscribe to:
Posts (Atom)