Tazama picha za chini na comments kujua kama ulishinda '
Hapa kwenye comments zenu mnaweza kuona nani kashinda na aloshinda beg ni yule alocomment wa kwanza'' wengine wote walopata baada yake ni watajinunulia chochote na kupewa 50% off "chaguo ni lako na kama ulichochagua hakipo basi nitakuambia ni kipi kipo'ili upate haki yako kwa msema kweli wenu 'Flora Lyimo"
Beatrice Pantaleo mpora najua utavaakiatu cha silver
Vicky Benny Nnko hiyo boot fupi ya kwanza
Vicky Benny Nnko hiyo buti fupi nahisi
Fathiya Mustafa Mpora sikuona vingine ni hivyo viatu vyeusi hapo kati maana utatokaje na red carpet....viatu hivyo ktkt vyeusi
Felista Temu navitamani viatu dada flora
Mrscuppuchino Cuppuchino @mercy eagle mbona umejjibiwa kinauezwa paund 89.99
Sarah Katarama Hicho cha pili kati kutoka kulia...
Fathiya Mustafa Hicho cha kwanza mpora kiatu
Mrscuppuchino Cuppuchino Hahaha mpora mtoto wa kumwachia sina lkn mbege yangu niwekew.mm naisi utavaa hichocha pili chini kushoto ambacho cheusi sio boots
Mrscuppuchino Cuppuchino Cha pili kutoka kushoto chini ndo mtoko
Mrscuppuchino Cuppuchino Mm naona mpola cheusi hicho ambacho sio buti mambo ya summer
Jodee Adams Happy birthday my lovely sis Flo always I love u enjoy ur day was born in this world ur a child of God always he wil guide u until the rest of ur life kwa leo vaa Black shoe hiyo yenye vitu vinangaa I mean kama vibakoli au nichuma
Rogy Bukos Long black shiny boot I recon
Vicky Benny Nnko boot fupi ya kwanza kabisa
Dolla Songambele Boot ilo fupi
Dolla Songambele Hivyo vyakulia mpaka kwa paja utatisha
Dolla Songambele Ilo lakushoto jeusi ndio mpango mzima wa Bday party hatari
Tinna Tonyia cha tatu mstari wa tatu,hesabu kuanzia kushoto
Addie Adeline jamani sasa itatosha kununua la huku, hicho cha kwanza kabla ya hicho kirefu..
No comments:
Post a Comment