Jamani nimewaachini Picha zitawaambieni yote ''na ikiwa una swali wewe uliza anytime"
Mama Mzaa NURU THE LIGHT ndo huyoo'na wajukuu wake .a.k.a. The Birthday's Girl"
Lets Close our eyes and make a Birthday wishes Baby "
Time to be in mikononi mwa Flora Lyimo Fashion Police" na walipendezaje sasa"
Habari ndo hiyo watu walikuwaje na Furaha na pia Mavyakula na Mavinywaji ya kila aina yakumwaga yalikuwepo yani si mchezo ' FOLLOW THIS BLOG' so you won't Miss the Next Album to Come"
chei chei watoto wazuri nichekie walivyo wacute kama wazazi wao hongereni wazazi, Flora watoto wamekupendeza hebu fanya uzae na new hubby wako hebu ona unavyosmile na baby smile nzuri ya upendo mbuta nanga usikawie kiruu
ReplyDelete