KITENDA WILI"NYUMBA YANGU NDOGO LAKINI INAENEA WATU WENGI' MBUTA NANGA!!

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO TZUK

FLORA LYIMO BLOG

FLORA LYIMO BLOG

FLORA

FLORA

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA RAIS JK

FLORA NA MH PINDA

FLORA NA MH PINDA

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

SHINY ,HEALTHY-LOOKING AND GORGEOUS HAIR' WHATSAPP +44 778 7471024

Sunday, 23 June 2013

BY FLORA LYIMO~ BREAKING NEWS' JOYCE KIRIA OF WANAWAKE LIVE'AMTAFUTA MME WAKE HAJUI ALIKO" RUWA MANGI''

 •  Joyce Kiria 'akiwa kwenye Mazungumzo yake on Wanawakelive''
  Joyce Kiria akiwa na Mme wake Henry ambae mpaka sasa anamtafuta hajui aliko" yani habari yake nimekutana nayo Facebook alafu sikuelewa nikaona nikama inahusika na Kipindi chake vile'But nilipoendelea kusoma ndo nikaanza kuogopa na kuguswa zaidi ndipo nikaona niwajulisheni nanyie Nyota zangu just mnaweza kuwa mnajua anything'yani nimemuhurumia sana kiasi ambacho siwezi hata kulala 'Ruwa Mangi''so WHATS IS GOIN ON?  • Nimempelekea Henry chakula cha jioni majira ya saa 11 jioni hii pale central police, nikaambiwa wameshamchukuwa! Nikauliza kaenda wapi askari wa mapokezi akaniambia hata yeye hajui! Nikacheki na wakili Kibatala akaniambia hata yeye hana taarifa kama wamemchukuwa! Wapi haki ya mtuhumiwa? Familia yake haipaswi kujua anaenda wapi? Hata wakili anafichwa? Am so confused...

   Ee Mungu mpiganie Mume wangu Henry popote alipo. Usimwache ahuzunike hata kidogo bali umpe nguvu ktk kipindi hiki cha mpito. Amen

   My sweetheart Henry be strong, hata kama sipo na wewe physical lkn nipo pamoja na wewe mpz wangu. Mungu ni mwaminifu atatushindia.. Lv you big time mwaaaaa

   Njiwa peleka salam
   Nimempelekea Henry chakula cha jioni majira ya saa 11 jioni hii pale central police, nikaambiwa wameshamchukuwa! Nikauliza kaenda wapi askari wa mapokezi akaniambia hata yeye hajui! Nikacheki na wakili Kibatala akaniambia hata yeye hana taarifa kama wamemchukuwa! Wapi haki ya mtuhumiwa? Familia yake haipaswi kujua anaenda wapi? Hata wakili anafichwa? Am so confused...

Ee Mungu mpiganie Mume wangu Henry popote alipo. Usimwache ahuzunike hata kidogo bali umpe nguvu ktk kipindi hiki cha mpito. Amen

My sweetheart Henry be strong, hata kama sipo na wewe physical lkn nipo pamoja na wewe mpz wangu. Mungu ni mwaminifu atatushindia.. Lv you big time mwaaaaa

Njiwa peleka salam
   Hii nimeikuta huko Facebook .sijaielewa vizuri ila imenisikitisha kwa Mwanamke mwenzangu na Mama anamlilie Mme wake Mimi ninaona nikama naota Ndoto za kwenye Sofa" Ruwa Mangi''
   Je kuna anae jua chochote? Hebu saidieni mtakapoweza"
   Have your say'
   Flora Lyimo '

No comments:

Post a Comment