WAMECHAFUA' Niliwategemea wavae vizuri na kiarusini zaidi' Princess Beatrice showed off her toned legs in her short blue dress while Princess Eugenie looked elegant in her figure-hugging green dress
Cressida Bonas is friends with Princesses Eugenie (pictured together) and Beatrice'' Kiharusini kama hii no no no 'Girls mlichafua''
Just married: The happy couple, Lady Melissa Percy and her husband Thomas van Staubenzee''HONGERA ZAO'Ila hayo mauwa yako mbona yanaonekana kama yamenyofolewa (Kichuminyi ) njiani kwa kusahau yaloandaliwa kisawa sawa'mbuta nanga'not nice look for the Wedding flower''
Pleased to be there: Pippa Middleton (left) and Tara Palmer-Tomkinson both seemed to be enjoying the occasion'' But Flora Lyimo Fashion Police:Say 'all their dreasses are just so Boring for the wedding like this ' yani watu wana pesa na wanajua harusi kunatakikana kuvaliwa nini maana walishahudhuria harusi zingine tena kubwa zaidi na wakaona jinsi ya kuvaa mle,au hii wameamua KUMZARAU NA KUMCHAFULIA MWENZAO ''Mbuta Nanga'
Hebu muoneni Dada Mtu 'kavaliwaje na wrong mtoko wake wa kwenye Harusi'' |
The Duchess of Cambridge's sister and lifestyle writer showed off her slender figure in an elegant peplum dress in muted shades'FLFP Say >NOT FOR THE WEDDING FOR SURE"
No comments:
Post a Comment